Wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuipiga pande CCM?

cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,878
1,622
[SIZE=+2]Wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuipiga pande CCM?[/SIZE]

WAFANYAKAZI wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki watafanya nini endapo serikali ya CCM haitotoa maelezo ya kutosha juu ya mafao yao,


 
Hiyo ni lahana kwa serikali ya ccm....wazee wanateseka sn na serikali imekalia fedha zao! Bora mkapa aliwapa japo kidogo sn ila awamu ya NNE waliandamana sn bila mafanikio yoyote! Machozi ya wazee hawa inaighalimu sn serikali ya Tz...
 
Wanadhurumu hata wazee watu? Sisi vijana je inakuwaje? Ndio maana tunataka tuwatoe madarakani.. Ccm inatakiwa kupumzika,, kwa kigezo kuwa inakuwaje raia wake wanateseka,, na kama kulitumikia taifa walishatumikia,, ccm wanaupungufu, na mungu anawalahani sasa.... Watoke tu.....
 
Back
Top Bottom