Najua wajibu wa mbunge ni kutetea watanzania katika issue zinazo husu maendeleo yao, Lowassa umekaa bungeni miaka saba kimia bila kuchangia suala lolote linalohusu maendeleo ya watanzania leo hii eti unachukia umasikini wa watanzania.
Je ni kweli kutoka moyoni?
Je ulikaa kimia ili kuja kuifanya agenda yako ya kisiasa?
Nafikiri hauna dhamira ya kweli kutoka moyoni kama ungekuwa na dhamira ya kweli usingekuwa kimia bungeni miaka saba, hii haina mashiko kabisa,