Huyo lizaboni,, atafanya watu wajinga... Umeona watu kariako leo wamefanya tafiti bila ya kwenda shule... Ukiona hivyo hata mkija na mbinu gani.. Tafiti za huakika ni tarehe 25,, wewe kama ungekuwa mwalimu. Ungekuwa wa general studies.. Lakin sio mtu unayejua hatima ya Tanzania.... Na
Hali ya maisha ya watu.. Utarahaniwa na kizazi chako.... Ushasafili wewe Au mwisho Ubungo... Tafadhal kama una hoja nyamaza sio kuleta tafiti feki,, Au hata kama shule utakua na vyeti feki. Ndo maana unapenda feki issues......