Search results

  1. grizzman

    Toyota IST tatizo la kioo

    Habari za usiku wana jamvi, Nakuja kwenu kuomba msaada kidogo gari aina ya IST ghafla tu kioo cha mlango wa dereva hakipandi lakini vingine vyote vinapanda na kushuka naombeni msaada wenu.
  2. grizzman

    Natafuta kazi ya Udereva

    Wajumbe habari za mchana. Kijana mwenzenu nimekwama jmn kwa mwenye conection ya kazi ya udereva pls tuinuane.pia kama kuna gari ya hesabu au mkataba uber na boltb AC nnazo.natanguliza shukrani.
  3. grizzman

    Nahitaji Gari ya Mkataba au ya Hesabu

    Habari wakuu. Kijana wenu hapa nina shida ya gari ya mkataba au hesabu .nina uzoefu na Uber na Bolt. Pia, kama kuna mtu anajua makampuni yanayo toa magari kwa mikopo tafadhali sana naomba kujulishwa. SHUKRAN
  4. grizzman

    Ni vipi naweza kupata Hati ya Tabia Njema?

    Habari za usiku ndugu zangu. Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema. Mahali inapopatikana, vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
  5. grizzman

    Natafuta kazi ya udereva

    Wakuu habari zenu. Jmn mimi ni kijana mtanzania natafuta ajira.nna uzoefu wa fundi gerej(nna cheti cha veta),dereva uber na piki piki(kusambaza bidhaa mbali mbali) ASANTENI. SHUKRAN
  6. grizzman

    Natafuta mke au mwana dada wakush nae

    umri:24 kazi:dereva piki piki,gari na bajaji kabila:mchaga elimu:4m4 wasifu:mnene kiasi mbavu, rangi:metailk black. dini:muislam nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na relax.sana sifa za bidada umri:20to27 rangi:yoyote umbile:asiwe mnene wala mwembamba elimu:yoyote...
  7. grizzman

    Digital na htc m8

    Habari wapendwa Nauza tv flat aina ya digital inch22 haina tatizo bei 180000 na Htc m8 bei 140 Ram 2gb Rom 32gb 4g cm iko fresh haina tatizo N.b exchange inaruhusiwa na samsung tu.asanteni
  8. grizzman

    Msaada gari yangu aina ya Toyota Passo inakula sana mafuta

    habari zenu wana ndugu, nimejichanga changa nimenunua ka passo kwa mtu lkn cha kushangaza kinakula mafuta vibaya nikiweka mafuta lita 5 natoka kimara to tegeta nakurudi inakua imeisha mafuta tatizo nn wadau. nakaribisha maoni yunu nashukrani
Back
Top Bottom