Natafuta kazi ya Udereva

grizzman

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
225
401
Wajumbe habari za mchana.

Kijana mwenzenu nimekwama jmn kwa mwenye conection ya kazi ya udereva pls tuinuane.pia kama kuna gari ya hesabu au mkataba uber na boltb AC nnazo.natanguliza shukrani.

20210820_125739.jpg
 
Hii leseni traffic anakupa ticket bila ya kuchelewa, kwasababu moyoni anajisemea huyu Mangaluka anaendesha vyombo vyote hivi mama......e huyu


Lunatic
 
Kwa madaraja yako hao yote wewe haustaili kuendesha gari ndogo......Watakiwa muda huu uwe unaomba kwenda kongo,burundi uko
 
Tembea. Ungekuwa mwanza ningekushauri ukajaribu fela maana wameanza test
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom