Search results

  1. M

    Naomba kufahamishwa salary scale PHTS 1.1 kiasi gani Tsh?

    Wanajamiiforum naomba kufahamishwa salary scale PHTS 1.1 kiasi gani Tsh?
  2. M

    Makolo tushike lipi?

    Toka kichapo Cha mbwa Koko makolo mnaongea Kama wehu ebu acheni kuweweseka,ni nini hasa sababu ya kutepeta wakati mvua mali yetu?ni Nini hasa 1.uchawi ,pale walipoonekana Yanga wanamwaga maji ya mwamposa 2.Kocha Bora wa mwezi oktoba Hana uwezo?,kocha mwenye unbeaten 29.amefukuzwa 3.kocha wa...
  3. M

    Tunduru, Ruvuma: DC Mtatiro anusurika kushambuliwa kwa mawe, wakulima wa mbaazi walalamikia zao hilo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi

    Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa...
  4. M

    Ajifungua mapacha na kumkataa pacha mmoja akidai hajafanana naye

    Mwalimu anayetokea Tarafa ya Namasakata Wilaya ya Tunduru ameshitakiwa na mke wake kwa Afisa Elimu. Mama aliyejifungua watoto wawili mapacha wa kike na kiume, anamkataa wa kiume kuwa hajafanana nae. Hajawahi kumshika wala kumuhudumia alipoulizwa ofisini alisisitiza yuko sahihi mtoto huyo si wake.
  5. M

    Vyama vya ushirika vyashindwa kuwalipa wakulima wa ufuta

    Wakulima wa ufuta mikoa ya kusiniwanaelekea kipata. Hasara baada ya vyama ushirika (AMCOS)vingi kushindwa kuwalipa wakulima fedha za ufuta baada ya kukusanya ufuta na minada kufanyika zaidi miezi miwli sasa.viongozi ambao walikuwa mstari wa mbele kuwalziimisha. Wakulima kupeleka ufuta AMCOS...
  6. M

    Vyama ushirika vyashindwa kuwalipa wakulima wa ufuta

    Wakulima wa zao la ufuta wa mikoa ya kusini.Lindi,mtwara na Ruvuma. wanaelekea kupata hasara kubwa baada vyama mbalimbali (AMCOS)kushindwa kuwalipa baada ya kukusanya ufuta kwa zaidi ya miezi miwili. Vyama vikuu vimegoma kiungiza fedha kwenye amcos ili kulinda hela za makampuni na kuvitaka vya...
  7. M

    msaada kuhusu uombaji wa chuo

    naomba msaada kuna madhara ya mtu aliyechaguliwa multiple selection akaconfirm chuo kimoja then akaomba tena chuo kingine course nyingine second round
  8. M

    Je kuna tulichojifunza kutokana na makosa ya operation tokomeza ujangili?.

    Wakati wa utawala wa mzee Ali Hassan Mwinyi kuliawai kuwa operation kupambana na ujangili huko tunduru.niliwahi kukutana na dhahama ya mwanaoperation,wakati huo nilikuwa nasoma sekondari,askari mmoja akiwa ndani kombati aliniomba nimpakie kwenye baskeli(swala) nilikataa nikambia rim yangu si...
  9. M

    Mwenge wazua patashika tunduru

    Mbio za mwenge ziliingia mtafaruku baada mbunge wa tunduru kusini ,mh Mtutura kuushutumu uamuzi wa uongozi wa wilaya kupanga msafara mwenge uende kuzindua MP LODGE na HAMANJU FILLING STATION.ambazo zinamilikiwa Daimu Mpakate,ambaye 2010 alichuana vikali kwenye kura za maoni na mh. Mtutura ambaye...
  10. M

    Chelsea mabingwa uingereza

    chelsea wachukua ubingwa ikiwa bado mecha tatu,baada kuifunga crystal palace na kufikisha point ambazo hazitofikiwa na timu nyngine
  11. M

    Bvr yawakeshesha wananchi

    Kasindogo ya uandikishaji imesababisha wananchi wa wilaya tunduru kulala vituoni kusubiri kupata vitambulisho,kituo kinachoongoza watu kukesha shule ya msingi muungano kwa zaidi ya siku 3 mfululizo,kituo cha stend ya mabasi(tarafani),nakayaya mashariki (cdc).baadhi ya vituo kwa siku wastani...
Back
Top Bottom