Search results

  1. muhuwesichimalamyasi

    hatimae wa matopen wajifunza kwa wakimataifa

    katika hali isiyo ya kawaida klab ya simba baada ya msoto wa miaka minne bila kombe wala jagi.imeona bora wafuate mfumo wa yanga kwa kuteua kamati ya mashindano.vp wadau mnaamin hii kamat kwa simba itawasaidia kupata kombe msimu huu?
  2. muhuwesichimalamyasi

    Mtoto mchanga kitovu kutoa damu

    Wanajf polen na majukumu ya sikukuu. Waungwana nina mtoto wangu ana siku kumi,tatizo linalomsumbua kitovu chake kinatoa damu.Nimekwenda hospital Dr ameniambia niendelee kukiosha tu bila kunipa dawa. Naomba mwenye kufahamu dawa au ushauri aniambie.
  3. muhuwesichimalamyasi

    King'amuzi cha Azam tv na mvua

    Napenda kutoa malalamiko ya king'amuzi cha Azam kila inaponyesha mvua kinagoma kuonyesha chaneli. Kwa aliye karibu na kampun afikishe ujumbe.
  4. muhuwesichimalamyasi

    Wamiliki wa mitandao hawatendi haki kwa watu wa vijijini

    Nimepata safari ya kikazi nipo Hydom Manyara, sasa cha kushangaza nimejaribu mitandao yote hakuna mtandao ambao unatumia 3G. Nikajaribu kuwauliza wenyeji wakanijibu kuwa hakuna mtandao unaotumia 3G. Nauliza watu wa vijijini hawana haki ya kupata huduma bora?
  5. muhuwesichimalamyasi

    Msaada Barca vs Bayern

    wanajamvi naomba msaada wa kitakwimu au uzoefu.kwa mfano wa mechi ya kesho kati ya barca na bayern,kati ya wachezaji wa barca kwa kuwa wana ufaham mfumo wa ufundishaji wa guardiola au guardiola kwa kuwa anafahamu uchezaji wa timu ya barca na wa akina iniesta.ni nani kati ya kocha na wachezaji...
  6. muhuwesichimalamyasi

    Naomba matokeo ya Azam vs Stand United

    Wana jf naomba matokeo ya mechi ya azam na stand united.itakuwa vizuri nikipata na majina ya wafungaji.
  7. muhuwesichimalamyasi

    Masikini Bayern Munchen

    kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........
  8. muhuwesichimalamyasi

    Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

    Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
Back
Top Bottom