muhuwesichimalamyasi
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 306
- 132
wanajamvi naomba msaada wa kitakwimu au uzoefu.kwa mfano wa mechi ya kesho kati ya barca na bayern,kati ya wachezaji wa barca kwa kuwa wana ufaham mfumo wa ufundishaji wa guardiola au guardiola kwa kuwa anafahamu uchezaji wa timu ya barca na wa akina iniesta.ni nani kati ya kocha na wachezaji huwa anapata ushind kutokana na kufaham udhaifu wa mwenzie?