Search results

  1. mtanganyika mpya

    What happened to Kenya Airways’ Boeing 777-300ERs?

    It was a joyous occasion when Kenya Airways received its first Boeing 777-300ER in October 2013. This plane would become one of three units of the widebody that the East African airline would seek to expand with. However, the carrier stopped operating the variant within a few years, and by 2016...
  2. mtanganyika mpya

    Kenya yatoa kibali kujenga camp kwenye njia ya wanyama

    Hawa jamaa Sasa kuzuia movement ya wanyama kwa kujenga kambi njiani ni akili za wapi. Wanyama wengi wamekufa kwa tamaa za hawa. ======= Tanzania monitoring ‘blocked’ wildlife crossing on Mara River Dar es Salaam. Tanzania said yesterday it was paying close attention to reports that a tourist...
  3. mtanganyika mpya

    Hari sio hari Tena KQ

    KQ yazidi kupata hasara ndani ya miezi 6
  4. mtanganyika mpya

    Kenya Airways kutaifishwa

    Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwa
  5. mtanganyika mpya

    SPORTPESA inakamua wakenya na kupeleka hela kwa timu za Malkia

    Hela za wacheza kamari Kenya
  6. mtanganyika mpya

    Mfalme dubai anataka hera yake wakenya mliyo mtapeli

    maneno mengii ila now kila mtu atajua wakenya ni matapele na wezi wakubwa
  7. mtanganyika mpya

    Mfalme dubai anataka hera yake wakenya mliyo mtapeli

    maneno mengii ila now kila mtu atajua wakenya ni matapele na wezi wakubwa
  8. mtanganyika mpya

    Mfalme dubai anataka hera yake wakenya mliyo mtapeli

    maneno mengii ila now kila mtu atajua wakenya ni matapele na wezi wakubwa
  9. mtanganyika mpya

    Serikali iangalie upya bei ya mafuta wananchi tunaumizwa

    Hili suala mafuta ya petrol na diesel kuendelea kupanda bei wakati katika soko la dunia mafuta bei imeshuka nashindwa kuelewa nafasi ya EWURA katika hii biashara naoana kama wanaongeza bei kuwaufaisha wafanya biashara wakati watumiaji tunazidi kuumia.
  10. mtanganyika mpya

    Nauza gari Rav4 J

    Nauza gari rav4 ipo katika hali nzuri kabisa 11mil fix serious buyer call namba 0713440444
  11. mtanganyika mpya

    Mtumishi hewa ni nani?

    Naomba kujuzwa dhana nzima ya mtumishi hewa na mishahara hewa coz kwa sasa ndo imekuwa story ya serikali. Utaratibu unakuwaje na inakuwaje mtu analipwa mshahara miaka au miezi bili kuwepo kazini.
  12. mtanganyika mpya

    Here is a list of Top 2o Corruption Scandals under Uhuru’s Watch

    By Harrision Murbi Here is a list of more than 24 alleged corruption scandals that have been reported under Jubilee regime. “THREE YEARS DOWN THE LINE AND THEY TALK OF 20YEARS TO RULE. CHECK THIS OUT: 1. KSh. 53 billion Laptop tendering rejected by court, whereabout of money already allocated...
  13. mtanganyika mpya

    BAADA YA XMAS UMEJIPANGAJE

    xmas ilikuwa na wikend ndefu sana na asilimia kubwa watu wametumia pesa nyingi sana sasa swali ambalo najiuliza January ndo hiyo inaingia na bado kuna maswwala kulipa ada za watoto shule wengine kodi za nyumba. je wewe umejipangaje
  14. mtanganyika mpya

    Mohamed Dewji atangaza kuachia jimbo la Singida Mjini rasmi!

    MO ametangaza hayo leo katika uwanja wa peoples hapa Singida
  15. mtanganyika mpya

    Uamuzi wa serikali ya Kenya kuzuia magari ya kitalii yaliyosajiliwa Tanzania kuingia uwanja wa ndege

    UAMUZI WA SERIKALI YA KENYA KUZUIA MAGARI YA KITALII YALIYOSAJILIWA TANZANIA KUINGIA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JOMO KENYATTA KWA AJILI YA KUCHUKUA NA KUSHUSHA WATALII Tarehe 22 Desemba, 2014, Serikali ya Jamhuri ya Kenya ilitoa amri ya kuzuia magari ya kitalii yenye usajili wa Tanzania...
Back
Top Bottom