SPORTPESA inakamua wakenya na kupeleka hela kwa timu za Malkia

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
424
302
Hela za wacheza kamari Kenya
IMG-20190720-WA0004.jpeg
 
Serikali zinapata kodi kwenye mapato yote ya kamali. Kinacho tusumbua Africa ni thamanu Imports zinazidi Exports!

Inaniwia vigumu kuelewa watu wanapolia kipato cha mtanzania wa kawaida kimeshuka walakini kila siku magari yananunuliwa kutoka japan.

Inashangaza zaidi taratibu za kuingiza bidhaa nchini ni nafuu na rahisi kuliko zile za kuuza bidhaa zetu nje ya nchi.
 
Ni mtazamo kwa upande wa Tanzania...

Sijawaelewa, sijui kama kiingereza ndio kigumu au ni kasumba yenu ya uelewa finyu. Kwahivyo Sportpesa inapofadhili timu za Uingereza na za Afrika Mashariki pia, huwa inawapa hela za bure? Alafu notisi yenyewe ni ya kimagumashi kupindukia. Yaani wanaibuka na chuki zao dhidi ya kampuni ya kiafrika ambayo inafanya makubwa uingereza na nyinyi mlivo malofa mnameza kila kitu kiulaini tu bila maswali? Kisa Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya, mlirogwa sio bure.
 
Wanafik nyie hypocrites of 1st class , wakati Sportspesa ilileta Everton huko Dar es Salaam kucheza na sijui Yanga FC si Tanzania nyinyi mlitoka kwa wingi sana kufurahia? It stinks of hypocrisy to enjoy something then condemn it.
 
Kama mwafrika Mtanzania nakubaliana na wewe kuwa hili tangazo limekaa kukandia waafrika si Kenya Pekee… manake Sports Pesa inalipa kodi na tozo zote zinazostahili hapo Kenya na wanaamua kuweka hela zao penye returns kubwa sijaona shida hapo
Sijawaelewa, sijui kama kiingereza ndio kigumu au ni kasumba yenu ya uelewa finyu. Kwahivyo Sportpesa inapofadhili timu za Uingereza na za Afrika Mashariki pia, huwa inawapa hela za bure? Alafu notisi yenyewe ni ya kimagumashi kupindukia. Yaani wanaibuka na chuki zao dhidi ya kampuni ya kiafrika ambayo linafanya makubwa uingereza na nyinyi mlivo malofa mnameza kila kitu kiulaini tu bila maswali? Kisa Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya, mlirogwa sio bure.
 
Kama mwafrika Mtanzania nakubaliana na wewe kuwa hili tangazo limekaa kukandia waafrika si Kenya Pekee… manake Sports Pesa inalipa kodi na tozo zote zinazostahili hapo Kenya na wanaamua kuweka hela zao penye returns kubwa sijaona shida hapo
Boss, kuna watu wanafik kupindukia. Mbaya zaidi ni kwamba sisi waafrika huwa hatujielewi. Mimi huwa sijishirikishi kwenye mambo ya kubet au kamari. Ila hivi majuzi niliposikia wakijadili kuhusu sportpesa kwenye bunge la UK nilijua bila shaka kwamba imewauma. Kampuni la kiafrika limefanikiwa kupenyeza kwenye soko lao pendwa kule U.K. Sportpesa inadhamini vilabu vyote viwili vya Simba na Yanga Tz. Leo hii ndio watu wanafik sampuli ya mleta mada wanakumbuka kwamba ni kampuni la kikenya. Kisa mzungu amesema.
 
I dont think there is any company that supports sports in Kenya more than what sportpesa does, all jerseys for most games have sportpesa on them, including tanzanian clubs, wivu wa mleta mada
 
nnnnn_800x.jpg
Simba SC.
images
Young Africans SC, club mbili pendwa Tz, na zote zinadhaminiwa na Sportpesa. Kwahivyo hawa nao wanakula hela za bure kutoka Kenya? Ningependa mleta mada anieleze kuhusu huo mfumo wa kibiashara wa kugawa hela za bure.
 
I dont think there is any company that supports sports in Kenya more than what sportpesa does, all jerseys for most games have sportpesa on them, including tanzanian clubs, wivu wa mleta mada
Jombaa, club zote za Tz kwenye Sportpesa Supercup 2018 zilikuwa zinadhaminiwa na Sportpesa. Singinda United na JKU ya Zanzibar pia, shukran ndio hizi boss, mateke ya kilo kama ya punda.
DfAwpDyWAAA8ME_.jpg
 
Sasa sijui kama mmeelewa au ndo unaendeshwa kwa mihemko
Hapo fact ni simple sana kiwango cha uwekezaji wa hao jamaa ni mdogo sana kwa kenye hata ukilinganisha na Tanzania mnaacha hoja mnaongelea kodi
Sasa cjui ni ufinyu wa uelewa au vichwa mizingo
 
Am not sure kama umeelewa labda kama upo kwa ajiri ya kupinga tuu

Back
Top Bottom