mtanganyika mpya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 424
- 302
xmas ilikuwa na wikend ndefu sana na asilimia kubwa watu wametumia pesa nyingi sana
sasa swali ambalo najiuliza January ndo hiyo inaingia na bado kuna maswwala kulipa ada za
watoto shule wengine kodi za nyumba.
je wewe umejipangaje
sasa swali ambalo najiuliza January ndo hiyo inaingia na bado kuna maswwala kulipa ada za
watoto shule wengine kodi za nyumba.
je wewe umejipangaje