Search results

  1. K

    Nahitaji mbaazi na mahindi ya njano

    Wanajanvi nahitaji mahindi ya njano na mbaazi mwenye nayo hayo mazao tajwa hasa akiwa Dar itakuwa nzuri 0715912123 tuwasiliane tafadhali
  2. K

    Nahitaji helment ya kuendeshea baiskel

    Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhali
  3. K

    Nahitaji helment ya kuendeshea baiskel

    Habarin za usiku rejea kichwa cha habar hapo juu nahitaji helment ya kuendeshea baiskeli au naweza kuoata wapi vifaa vya kuendeshea baiskel kama helment ,gloves miwan na vinginevyo nimejaribu kwenda tandika na hata karume wanapouza baiskel za mitumba sijapata aksanten nawasilisha
  4. K

    Nini ukweli kuhusu layers and broiler concetrate?

    ni kweli ni usiku naamini watakutana na hilo jambo na tutapata majibu toka kwa wajuvi
  5. K

    Nini ukweli kuhusu layers and broiler concetrate?

    Habarini za usiku wana janvi wenzangu ,nimekuwa mfuatiliaji wa vyakula vya mifugo kwa ujumla kwa undani,laikini nimekuwa nikishangazwa na hiki kitu kinaitwa concetrate ambayo uchanganywa na pumba alafu na kuwapatia kuku kwa minajiri kwamba pumba kilo mbili inachanganywa na kilo moja ya...
  6. K

    Bei ya gesi ya kupikia majumbani yapanda

    Nilikuwa na msambazaji wa gesi jana akasema kuanzia jumatano ya wiki hii (yani leo) itapanda n kuwa elfu kumi na sita kwa wauzaji hiyo ni mihani
  7. K

    Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    Nimekuelewa sana kaka ngoja nijipange kwa ajili ya mbegu ,Je kilimo hiki hakifananai na zile story za jatropha , ufugaji kware ,na ufugaji wa sungura kweli maana wanaoanzishaga huwa wako vzur kwwnye maelezo
  8. K

    Hivi baada ya harusi ni lazima wanandoa kwenda honeymoon?

    Hakuna umuhimu kwa kweli ndoa nimefunga na hilo fungate si kukaaa sikuona sababu
  9. K

    Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

    Nashukuru sana, maana niliyemuoa nimedumu nae miaka mitano ndo nikamuoa hivyo ananijua vilivyo
  10. K

    Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

    Nashukuru kwa ushaur na pia naendelea kupokea ushauri maana kitu hiki nina kama mwezi mmoja na nusu ndo kimenianza
  11. K

    Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

    Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii...
  12. K

    Sony experia z4 used for 140.

    nakupa laki na 20, niko kigamboni ,nicheki kwa 0715912123
  13. K

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Habari za jioni wanajanvi kwa uzoefu nilionao na utaalamu wangu kuhusu nguruwe naweza kukushauri hvi Kwanza inabid ujue tabia za nguruwe anapenda au anahitaji nini ili akue vizuri , Tambua kwamba nguruwe wakiwa wadogo uhitaji joto kiasi jopo si kali sana na hata wakikua baada...
  14. K

    Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!

    Mtoa mada hakumuelewa Masanja ,yani unatoa laki kwenda kufundishwa namna ya kutunza kuanzia sh mia( 100)
  15. K

    Nahitaji pumba za mahindi

    Unahitaji kiasi gani kwa wiki au mwezi na ujazo gani(debe)
Back
Top Bottom