Tujadili hili suala mana kuna mkanganyiko wa uletaji habari humu. Na je wanaposema wataajiri mikupuo miwili, ina maana kuna watakaochinjiwa baharini? Na huo utaratibu mpya utoaji ajira tofauti na miaka mingine naona kutakuwa na harufu ya interview au itakuwa direct?
vijana wanateseka, uhamisho hakuna, tumesikia wakisema ajira zilisitishwa miezi miwili tu lakini utumishi wao wanasema ajira hazijafunguliwa. mwenye kujua undani wa hili jambo atujuze mana tuliowachagua kila MTU anaongea lake wakati wote wapo kwenye serikali moja.
kundi kubwa la vijana wanaojiita panya road limevamia na kupora watu maeneo ya mbagala charambe magengeni huku wakisababisha foleni kubwa ya magari na kuleta hofu kubwa katika maeneo hayo. tukio hilo limetokea jioni hii ya saa kumi na moja. jeshi la polisi wapatao 20 walifika eneo hilo na...
CHAD VS TAIFA STARS
Date:23.3.2016
Time:15hours EAT
Timu ya Taifa Stars leo itakuwa uwanjani kupambana na timu ya Taifa ya Chad kwenye kombe la mataifa Afrika
Nahodha mpya wa Taifa Stars ya Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu ni tegemeo kubwa kwenye mechi na Chad.
Taifa Stars ni ya...
Mpaka ninapoandika huu uzi TANESCO wameniunguzia friji, radio(subwoofer) pamoja jiko vyote vina thamani ya shilingi milioni 1 na laki 9. Tatizo ni kukatika kwa umeme mara kwa mara. Yani ndani ya lisaa umeme unakatika zaidi mara 20. Nishaurini ndugu wapi pa kudai mali zangu katika ofisi za...
Unalalamika kila siku. Miaka 54 imefika wakati mpaka mabinti wanalialia humu wanataka kuolewa. Hao vijana waoaji hawana kazi wamebaki kulalamika. Magufuli nae anatuambia 'hapa kazi tu" jk naye alituambia maisha bora kila mtanzania. Funguka kijana usikubali kudanganywa tena mwaka huu. Miaka 54 ni...
Mtakubaliana na mimi hivi vitambulisho vya bvr(biometric voter registration) havina ubora ukilinganisha na vile vya zamani. hakioneshi wapi umezaliwa, mkoa,wilaya ambapo hata ukienda rita hawatavikubali tofauti na vya zamani. Sijajua serikali ina makusudi gani ila watanzania wengi...
Wakuu waganda wamejipanga kututupa nje ya afcon. Rais wa uganda yoweri kaguta museven ameitwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa leo kati ya uganda na tanzania ili kuwapa nguvu na hamasa vijana wake watufunge tena. Ikumbukwe wiki2 zilizopita tulipigwa 3-0 katika ardhi ye2. Hapa nimeshaandaa...
Akiongea kwa ujasiri mkubwa Martin Nooij kocha mkuu wa taifa stars amesema timu yetu imefungwa magoli machache sana na timu ya taifa ya Misri.
Nakumbukua kauli yake kabla ya mechi alisema amejiandaa timu vizuri kwa kucheza pasi za haraka haraka na anamatumaini makubwa ya kupata ushindi...
Nina imani mitihani yenu imemalizika kwa asilimia 95. Mkiwa mnategemea ajira zenu 2015/16 tunaomba mtupe tathmini ya mitihani yenu na matarajio yenu kama mnafaa kuajirika ama hamfai kutokana na jinsi mlivyofanya mitihani yenu. Mimi kama mdau wa elimu nawatakia matokeo mazuri.
Wakuu sheria za elimu zinasemaje kuhusu hili? Hivi ni haki kwa wakuu wa vyuo/shule kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya taifa inayotolewa na baraza la mitihani la tanzania(necta)? Kisa mtoto hajamaliza ada? Naomba kujuzwa huu utaratibu umehalalishwa na necta au wizara ya elimu?
Nashindwa kuelewa ni masaa manne sasa natuma sms zinafeli. Je mtapeleka masaa mbele kwa muda mliokata network au ndio ule msemo wa buyer must be aware?
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na mgambo yamedhihirisha kuwa hata mwaka huu simba haitacheza ligi ya mabingwa au ligi ya shirikisho...
Jamani kuna ndugu yupo mtaani huu mwaka sasa. Ana diploma ya procurement and logistic management yenye GPA ya 3.5 kutoka T.I.A yupo tayari kufanya kazi mkoa wowote.
Habari za jumapili wana-JF
Nimepanga nyumba moja chumba na kisebule, tangu nipange hapa huu ni mwaka wa tatu sasa.. Na hapa tunaishi na mama mwenye nyumba wangu, mwezi wa kumi mwaka jana nilisafiri mimi na mpenzi wangu kwenda kusalimia ndugu zangu, kabla sijaondoka wapangaji wenzangu...
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.
Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa Jiji la Dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembelea Posta huwa nashindwa kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa.
Mda wote wadada hawa wanajiona kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.