Vodacom vipi! Mbona line yangu haitumi meseji?

Vodacom vipi! Mbona line yangu haitumi meseji?

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Nashindwa kuelewa ni masaa manne sasa natuma sms zinafeli. Je mtapeleka masaa mbele kwa muda mliokata network au ndio ule msemo wa buyer must be aware?
 
humu hawatakupa msaada
wapigie simu
kama unaweza pata instagram au facebook wafuate wanakusaidia huko huko mnamalizana
 
Vodacom hovyo kabisa,hata mimi imegoma,mtandao wa kishenz kabisa
 
humu hawatakupa msaada
wapigie simu
kama unaweza pata instagram au facebook wafuate wanakusaidia huko huko mnamalizana

Hao watoa huduma wenyewe hawako serious

Nimerenew line Jumatatu last week wakaniambia after 44 hours MPESA itaanza kufanya kazi, nikakaa mpaka Alhamisi Hakuna kitu

Nikaenda ofisi zao hiyo Alhamisi wakaniambia wanafanyia kazi then after 24hra itakiwa saw .... nimekaa mpaka Jumamosi hakuna kitu nikapiga huduma kwa wateja aliyepokea akaniambia simu yake inatatizo la MPESA hivyo ataunga wengine washughulikie.....mpaka sasa hakuna kitu na ni week sasa na zaidi
 
Wanazingua saana nilijua tatizo ni Mimi tu kumbe tuko wengi,kuhama kunatuhusu
 
Nimewapgia simu toka saa moja wanadai watarekebisha ndani ya dk30. Sasa hivi inaenda saa nne usiku mtandao ovyo kabisa huu na hakuna sheria inayowabana ili kurudisha angalau masaa yaliyopotea.
 
Wanazingua saana nilijua tatizo ni Mimi tu kumbe tuko wengi,kuhama kunatuhusu

kuna customer care mmoja nimempgia simu ananiambia jana hajalala hvyo anausingizi mwingi nimwache aupunguze.
 
Nimewapgia simu toka saa moja wanadai watarekebisha ndani ya dk30. Sasa hivi inaenda saa nne usiku mtandao ovyo kabisa huu na hakuna sheria inayowabana ili kurudisha angalau masaa yaliyopotea.

Kwa Tanzania hiyo ni ngumu kufanyika. Kama Tanesco wenyewe hawawezi kukulipa hata nyumba na mali vikiungua kwa sababu ya uzembe wao, iweje hayo masaa tu ya cheka?
 
Kwa Tanzania hiyo ni ngumu kufanyika. Kama Tanesco wenyewe hawawezi kukulipa hata nyumba na mali vikiungua kwa sababu ya uzembe wao, iweje hayo masaa tu ya cheka?

hawawezi kulipa mpaka sasa masaa ni saidi ya6 network majanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom