Search results

  1. Chipsi yaipembeni

    CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

    Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif ambazo zilianza kusambaa tangu jana jioni kwamba kiongozi huo amefariki dunia Jussa Ismail Jussa, amesema taarifa hizo sio za kweli. Pia amezungumzia hali ya kisiasa mjini Zanzibar kwamba kwa sasa hali si shwari.
  2. Chipsi yaipembeni

    Polisi yatangaza kiama watakaoongeza bei za nauli Krismasi na Mwaka Mpya

    Nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazochapishwa na hii tovuti ya FikraPevu.com, leo wameweka habari inayohusu Jeshi la Polisi kutahadharisha Ongezeko la bei za nauli Krismasi na Mwaka Mpya.
  3. Chipsi yaipembeni

    Serikali imetoa mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliotuma maombi 2015

    Serikali imefanikiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu waliotuma maombi mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya maelekezo ya Mh rais John Pombe Magufuli ya kuondoa kero na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi katika sekta ya elimu. Akizungumza na viongozi na wanafunzi wa chuo...
  4. Chipsi yaipembeni

    Uchunguzi wabaini Uwepo wa Maandalizi makubwa ya Tohara kwa Wanafunzi Msimu huu

    UCHUNGUZI umebaini kuwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kumekuwepo na maandalizi makubwa ya msimu wa tohara kwa watoto wa kiume unaofanyika sanjari na ukeketaji kwa watoto wa kike katika maeneo mablimbali nchini, ambapo umeanza kuathiri mahudhurio ya wanafunzi shuleni. Taarifa zaidi zinaeleza...
  5. Chipsi yaipembeni

    AG awasilisha waraka Mahakamani wa kutaka kushikiliwa kwa Mfanyabiashara wa dawa za kulevya

    Taarifa zinasema Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya, aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji na mkewe...
  6. Chipsi yaipembeni

    Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5. Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na...
  7. Chipsi yaipembeni

    Raia wa China waliokamatwa na Pembe za Faru waburuzwa Mahakamani Mbeya

    Wale Rais wa China wanne waliokuwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya wamefikishwa Mahakamani wakikabiliwa na mashtaka matatu. Pembe hizo 11 zinazodhaniwa kuwa ni za Faru zinakadiriwa kuwa na thamani ya takribani milioni 900. Aiyenipa taarifa hizi hajaweza kuelewa kwa haraka kuwa...
  8. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

    KAMPUNI ya Jamii Media, ambao ni wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii,JamiiForums na FikraPevu nchini Tanzania, imelaani kitendo cha baadhi ya kundi/watu walioishambulia miundombinu ya kampuni hiyo na kuzuia kupatikana kwa huduma zake kwa siku kadhaa. Kwa...
  9. Chipsi yaipembeni

    Wananchi waandaliwe Kisaikolojia kuyapokea Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015

    SERIKALI na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wana jukumu kubwa la kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili wawe tayari kuyapokea matokeo ya uchaguzi mkuu wasiyoyatarajia. Huu ni wakati wa vyombo vya dola pamoja na vyama vya siasa kuheshimu maamuzi ya wananchi baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu...
  10. Chipsi yaipembeni

    Barabaraba ya Bagamoyo Dar na magari yaliyobeba Askari

    Wakuu, Asubuhi majira ya saa mbili nilienda hadi Posta Mpya kufanya shughuli zangu za kila siku, lakini nilipokuwa njiani kuelekea huko nilikutana na magari ya kawaida ya Polisi yakiwa yamejaza Askari, kuna wanaotoka Mjini kuelekea Morocco na kuna mengine yanaelekea Posta. Nimepata dharura...
  11. Chipsi yaipembeni

    Maneno Machache ya Jaji Mutungi kuelekea Uchaguzi Mkuu, azungumzia suala la Kulinda Kura

    MKUTANO kati ya Msajili wa Vyama Vya siasa nchini, Jaji Fransis Mutungi, na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari uliofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza umuhimu wa wananchi kulinda amani ya nchi ambayo imekuwepo kwa muda mrefu kwa kuepuka vitendo ambavyo vitaleta uvunjifu wa amani...
  12. Chipsi yaipembeni

    Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Jakaya Kikwete, Alhamis Wiki Hii anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10. Kwa mujibu wa taarifa...
  13. Chipsi yaipembeni

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Wakuu, Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo. ===== UPDATES: JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed na amethibitisha kutokea kwa...
  14. Chipsi yaipembeni

    Serikali imetangaza zabuni kwa kampuni za ujenzi nje ya nchi kubomoa jengo la ghorofa 16 Dar

    Wakuu, Katika kupitia mitandao mbalimbali ili kupata habari mbili tatu, nilikutana na hii ambayo imeandikwa na Gazeti Mtandao la FikraPevu. Eti hapa nchini Serikali imekosa kampuni inayoweza kubomoa majengo marefu ikiwemo lile lililopo katikati ya Jiji la Dar es salaam ambalo liliamriwa na...
  15. Chipsi yaipembeni

    Kanisa la Waadventista Wasabato Mererani SDA Arusha, limteketea kwa moto

    Kanisa la Waadventista Wasabato Mererani SDA Arusha, limteketea kwa moto kwa kiwango kikubwa ikiwemo sehemu ya Ofisi muda mchache uliopita. Moto ukianza majira ya saa sita mchana lakini hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kutokana na tukio hilo. Mchungaji wa Mtaa huo wa Mererani, Furahini Mmbaga...
  16. Chipsi yaipembeni

    Namna wazazi wanavyoongea na mabinti zao katika umri tofauti

    Hivi ndiyo wazazi wetu wanavyowaambia mabinti zao, Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka 26: Wenzio wanaolewa. Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia! Miaka 33...
  17. Chipsi yaipembeni

    TCRA yaonya Vyombo vya Habari vinavyokiuka sheria wakati wa kuripoti habari za Kampeni

    Wakuu, Mamlaka ya Mawasialiano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa vyombo vya habari vinavyoendelea kuripoti habari za kampeni za uchaguzi unaoendelea nchini kuwa itatoa adhabu kali, ikiwemo kuwanyang'anya lesini wamiliki wa vyombo hivyo endapo vitakavyokiuka sheria zilizowekwa. Kwa mujibu...
  18. Chipsi yaipembeni

    Mtoto wa miaka 7 afariki kwa kuliwa na Mbwa Mwanza

    Mtoto Jovina Lwegasira (7) amekufa kwa kuraruliwa na kuliwa na kundi la Mbwa waliokuwa wakizagaa mtaani katika eneo la Malimbe Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo limetokea jana saa 5 asubuhi wakati mtoto huyo akielekea dukani ambapo pamoja na mambo mengine...
  19. Chipsi yaipembeni

    CCM wamewanywesha Star TV maji ya bendera yao, angalia walichopost muda huu

    Ni dhahiri sasa kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewachanganya hata maadmin wanaosimamia ukurasa wa Facebook wa Sahara Media, muda mfupi uliopita wameweka habari ambayo haiendani na picha (wameweka picha ya Ridhiwani Kikwete nawakati habariinawataja CHAUMA.
  20. Chipsi yaipembeni

    Changamoto wanazozipata watoto wanaohitimu elimu ya msingi bila kuchaguliwa sekondari nchini

    LENGO mojawapo la Elimu ya Msingi Tanzania ni kumuandaa mtoto aweze kuingia hatua ya pili ya elimu yaani Sekondari na Elimu ya Ufundi lakini pia kumwandaa mtoto kuingia katika ulimwengu wa kazi na ajira. Nikitafakari kwa makini naona ni wazi kuwa lengo hili halifikiwi kwani watoto wengi...
Back
Top Bottom