Search results

  1. MR.ACCORDING TO ME

    Universities should work with local communities

    KAMA KUNA MDAU NA WALIMU WA SAYANSI TUWASILIANE. NIMEPENDA SANA MJADALA.
  2. MR.ACCORDING TO ME

    Universities should work with local communities

    NADHANI HIZO SABABU NDIZO ZILIZO WASUKUMA WALIMU WOTE WA MASOMO YA SAYANSI KUSAJILI CHAMA ,ILI BASI KWA KAULI ZA CHAMA KUPITIA WADAU KAMA NYIE,MAWAZO HAYA YAWEZE KUFIKISHWA PAHALA SAHIHI BADALA YA KUISHIA JF. KIMSINGI NIWAPONGEZE WOTE KWA FIKRA ZENU PEVU,NA MADAME REBECA KUTULETEA MJADALA HUU...
  3. MR.ACCORDING TO ME

    Nawezaje kurudi Serikalini kikazi ili hali nilikwishaajiriwa na nikaondoka bila ruhusa?

    Wewe unafanana na Mimi ila acha uongo,yaani wewe ulitoroka kama mimi. Sasa cha kufanya JIAJILI MWENYEWE ACHA KUTEGEMEA SERIKALI BANA,KWANI MASOMO GANI? Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  4. MR.ACCORDING TO ME

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari za leo ndg wataalamu.... Usajili Bado unaendelea hivyo Kama Bado haujajisajili Basi chukua hatua. NI rahisi Sana kufanya usajiri wala haichukui muda mrefu Kisha unaendelea na shughuri zako. Asante. Muhimu sana ndg Mwl. Nasisitiza Tena, wote wenye nia na mapenzi mema na STAT naomba...
  5. MR.ACCORDING TO ME

    K

    Hahahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MR.ACCORDING TO ME

    Hii Cartoon inakupa hisia gani?

    Kitemi zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MR.ACCORDING TO ME

    Hii Cartoon inakupa hisia gani?

    Haaaahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MR.ACCORDING TO ME

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    NAAMINI KWELI SHETANI ANA NGUVU,ILA FAHAMU USITENDE KITU KWA KUWAFURAHISHA AU KUTAKA FOLLOWERS.IMANI YA MTU NI MALI BINAFSI,ACHA UFITINISHI! Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
  9. MR.ACCORDING TO ME

    Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

    Watapata shida sana! Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
  10. MR.ACCORDING TO ME

    Utunzaji wa nywele za asili

    Dada 'Mimi ni mama' ,naomba tuwasiliane with no joke,rather its so urgent. My WhatsApp number is 0783059220. Wishing you all successful day in Jesus Christ!
  11. MR.ACCORDING TO ME

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    HIYO HYDROPONIC FODDER, sijafahamu maelezo yake kabisa. Tuambie hicho ni nini?Kinaandaliwaje?
  12. MR.ACCORDING TO ME

    Natafuta mume

    Ingawa sina vigezo kamili,kwa mujibu wa mhitaji,ila tutayajenga.nitafute inbox.Bora amani ya moyo kuliko vigezo,Naishi DSM.Tutafutane!
Back
Top Bottom