Search results

  1. namwakalima

    Janja ya Mo Dewj iko hapa

    mkuu WaTanzania ndivyo tulivyo.....shida zetu huwa tunatafuta sehemu pa kuzitulia, we are low minded people
  2. namwakalima

    Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

    Ushahidi gani sasa? Kwamba kama ni kweli kulikuwa na show Iringa? Au ushahidi kwamba Vodacom wamehusika kwenye hizo show? Yaani team tembo hamueleweki.....!
  3. namwakalima

    Kwa wakali wa draft

    Hii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapo
  4. namwakalima

    Azam FC imewatimua makocha wake wote raia wa Hispania

    Micho anaenda kuchukua nafasi ya Shakes Mashaba baada ya Afcon.
  5. namwakalima

    Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

    Let me make one thing clear... Blah blah sitaki kusikia.
  6. namwakalima

    Msigwa awachezesha kwata CCM Iringa

    Msigwa kawajali wana Iringa kwa lipi?
  7. namwakalima

    MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Rebirth katika mwili mwingine au katika nafsi ingine ? Yaani kutoka ng'ombe hadi chui?
  8. namwakalima

    Bukoba vs Moshi

    Mbona unaweka na picha za Iringa na Mwanza?
  9. namwakalima

    Nimetoka uwanja wa Samora, Diamond kaacha gumzo

    10,000/= kiukweli watu walijaa usipime...aiseee Diamond anapendwa haswa
  10. namwakalima

    Salaam za Sikukuu

    Sasa ndo umeandika nini?
  11. namwakalima

    Salaam za Sikukuu

    Chama Cha Mapinduzi "CCM" kinawatakia wananchi wote bila ya kujali itikadi zao wala dini zao Kheri na fanaka katika msimu huu sikukuu za Christmas na Mwaka mpya 2017. Umoja ni Ushindi.
  12. namwakalima

    Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

    Hata siku moja mwaka mpya hauji kwa muda mmoja kwa nchi zote duniani sababu ya utofauti wa masaa. Mfano Zambia,DRC,Burundi na Rwanda zipo saa moja nyuma yetu kwahiyo sisi Tanzania,Kenya na Uganda "45°E" tutaanza kuuona mwaka mpya mapema afu baada ya saa 1 ndo kina Zambia wanauona mwaka mpya...
  13. namwakalima

    Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

    Mkuu unajua brand huja na kupotea..... Ukivaa sasa hivi FUBU 05 utaonekana umetoka Sanya Juu huko.......ni sawa na brand ya Calvin Klein "cK"
  14. namwakalima

    Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

    FUBU stands for "For Us Before Us" group of 5 members.
  15. namwakalima

    Carlos: Gaidi mtukutu zaidi kuwahi kutokea katika uso wa dunia

    We jamaa vipi? Kwann ume quote stori nzima?
  16. namwakalima

    Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

    We hizi jeans za Savco na Tokyo ni za juzi juzi hapa miaka ya 1992 hadi 1996 hivi. Enzi zetu Christmas tulikuwa tunapiga suruali za Michael Jackson.
  17. namwakalima

    Mambo ya Dom hayo!!

    Mbona ihumwa iko nje ya mji sana.....kupita jeshini huko
  18. namwakalima

    Focus Saanane: Ninamtaka Mwanangu Ben akiwa hai, amlaumu Mbowe

    We nawe una hoja dhaifu mno.....Mzee Focus Saanane anajua fika kuwa Mbowe hajamaliza hata form 4 sasa Ben ataanzaje kumuhoji Mbowe kuhusu Phd?
  19. namwakalima

    Focus Saanane: Ninamtaka Mwanangu Ben akiwa hai, amlaumu Mbowe

    In short "Mbowe bring back Ben either dead or alive" Full stop.
Back
Top Bottom