Search results

  1. kanywaino

    DC Tunduru abaini ufisadi, awatia mbaroni viongozi 4 kwa tuhuma za kuuza viwanja bila utaratibu

    Tuesday, August 02, 2016 DC TUNDURU JUMA HOMERA AWATIA MBARONI VIONGOZI WANNE KWA TUHUMA ZA KUUZA VIWANJA BILA UTARATIBU. Mkuu wa Wilaya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera, amewatia mbaroni Viongozi wanne wa Serikali ya vijiji kwa kosa la usimamizi mbovu wa ardhi katika Vitongoji vya Umoja na...
  2. kanywaino

    DC Tunduru atoa matumaini kwa wananchi wake

    DC TUNDURU ATOA MATUMAINI KWA WANANCHI WAKE Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akizungumza na wananchi wa kijiji cha Msinji kata ya Ligoma, Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akipokea risala toka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji...
  3. kanywaino

    Mkuu wa wilaya ya Tunduru atafuta mwarobaini wa kumaliza migogoro ya wafugaji na wakulima

    MKUU WA WILAYA TUNDURU ATAFUTA MWAROBAINI WA KUMALIZA MGOGORO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akizungumza na Wafugaji wote wa Wilaya ya Tunduru katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. Wafugaji wa Wilaya ya Tunduru wakimsikiza kwa...
  4. kanywaino

    Msaada wenu natafuta daktari wa ngozi

    Wanajamii naomba mnipemsaada ngozi yangu imetoka mapele nataka kuonana na mtaalamu wangozi atakayenipa sababu zatatizo langu ikiwezekana kama kuna vipimo anipime kabisailinitambue kinachonisibu....
  5. kanywaino

    Prof. Ibrahim Lipumba yuko wapi jamani?

    Jamani naomba kuhuliza mwenyekiti wa chama cha cuf prof lipumba yuko wapi kwani sikumsikia katika harakati za uchaguzi igunga may be inaweza ikawa sababu ya chama hiki (cuf) chini ya mtatiro kuwa na mapenzi ya karibu sana ccm hadi kufikia kusherehekea ushindi kwa pamoja.na jullius rutatiro...
  6. kanywaino

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye bunge la vijana la common wealth (UK)

    jamani katika pita pita nimekutana na habari kuna mabinti wawili wa kitanzania wameenda kuiwakilisha tanzania katika bunge la vijana la common wealth huko uingereza kuanzia tarehe 6-10.ila nataka kujua utaratibu unaotumika nchini tanzania kuwapata wawakilishi kama hawa ili namimi niweze kwenda...
  7. kanywaino

    Bendera ya Tanzania na maana yake inaheshimika?

    LEO ALFAJIRI MIDA YA SAA 11.30 NILIKUWA MAENEO YA AKIBA PALE CBE.KWA UPANDE WA PILI KWENYE OFISI ZA TaESA(WIZARA YA KAZI) PALE NIKAONA WANAPANDISHA BENDERA MUDA HUO,NILIVYOMWANGALIA ALIYEKUWA ANAPANDISHA HATA SIJAMWELEWA ALICHOKUWA AKIKIFANYA...NAOMBA MSAADA NIFUNDISHWE KAMA NINACHOJUA NI...
  8. kanywaino

    CCM kiacheni UDSM kiwe huru

    wanafunzi wa udsm tumechoshwa na harakati za migomo zinazoendelea na kuchochewa sana na vyama vya siasa vya nchiii.....tunataka kusoma...sio migomo .
  9. kanywaino

    uwaziri

    wadau mnaonaje kama mama prof tibaijuka akipewa wizara ya fedha haiongoze? na je magofuri apewe wizara gani??
  10. kanywaino

    bongo star search

    bongo star search wenzangu mwaionaje
Back
Top Bottom