Wawakilishi wa Tanzania kwenye bunge la vijana la common wealth (UK)

kanywaino

Senior Member
Joined
Sep 10, 2010
Messages
171
Points
195

kanywaino

Senior Member
Joined Sep 10, 2010
171 195
jamani katika pita pita nimekutana na habari kuna mabinti wawili wa kitanzania wameenda kuiwakilisha tanzania katika bunge la vijana la common wealth huko uingereza kuanzia tarehe 6-10.ila nataka kujua utaratibu unaotumika nchini tanzania kuwapata wawakilishi kama hawa ili namimi niweze kwenda kutuma maombi(appply) hapo mwakani maana ninauhakika naweza kufanya hivo.kitu kingine huko nadhani watu wanaoenda hawawakilishi hali halisi ya kijana wa tanzania ikoje...au naweza sema walioenda hawajui mateso hallisi ya kijana wa tanzania kwani kwa kuangalia tu noana wametoka familia fulani mambo safi.ila ni utaratibu gani unatumika kuwapata hao watu.linda kapinga na lucy minde ndio walioshinda kutuwakilisha..kweli kama mnawajua mtuambie watatuwakilisha vijana tunaopigwa jua huku tanzanaia au wameenda kuficha ukweli wa kijana wa tanzania?kama ni bunge limewapeleka basi watutangazie vipanga wengine na sie twende kuwakilisha.
nawasilisha
 

Forum statistics

Threads 1,392,830
Members 528,722
Posts 34,119,120
Top