Search results

  1. Maranzana

    Zouk audio music

    Ni wapi naweza pakua audio za zouk music? auidio only not video
  2. Maranzana

    Maths quiz

  3. Maranzana

    Harrier new model vs Kluger

    Naomba ushauri juu ya hizo gari. Ipi ninunue? Za miaka inayofanana 2004 - 2006 cc sawa 2,360 4WD or not Advice requested urgently
  4. Maranzana

    Leo naona hamjacheka, chekeni kidogo basi

    Hujacheka leo. Hebu cheka kidogo tu sio sana. UBAHILI NOMA! Ndani ya meli wa2 makabila tofauti walikua na mizigo, meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe, Mzungu akatupa computer, akasema kwe2 zpo tele, Mchina akatupa box la cmu akasema kwetu zipo tele" Mmasai akatupa Ng'ombe akasema hizi zipo...
  5. Maranzana

    A very nice and loving wife learning English

    A wife joins English class. After a few days ..........
  6. Maranzana

    Mchaga apendaye mbege kuliko mbinguni

    MCHAGA Mlevi alipanda Hiace: konda akamwambia: tabia yako ya ulevi hutafika mbinguni. Mlevi: MBUUTA!! Yesu wangu!, kumbe mnaenda mbinguni? Nishusheni hapa naenda Marangu mtoni kupitia kilema kuingia kirua kuna mbege kwa watoy wangu. Chaa!! Afadhali konda umeropoka ningekosa uhondo.
  7. Maranzana

    Rugemalira Asababisha Mchungaji Aokoke

    Ibada ilipokaribia kuisha mchungaji akauliza; "anayetaka kuokoka anyooshe mkono!"watu wote kimya. Rugemalila alikuwepo kwenye ibada akapita mbele akasema; "jamani mchungaji anauliza anayetaka kuokoka anyooshe mkono!". Mdada mmoja akanyoosha mkono. Rugemalila akampa yule mdada laki 3...
  8. Maranzana

    Watuhumiwa wengine watatu wa Sakata la ESCROW wafikishwa mahakamani leo

    Watuhumiwa watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya BOT Julius Angelo ambaye Amekosa dhamana, Ofisa Mwandamizi wa TANESCO Steve Urassa na Leonard...
  9. Maranzana

    Kuangalia mpira na wanawake ni shiiidah

    MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA: WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris Brown?? HUSBAND: Yule ni Theo Walcott WIFE: ile Yellow Card ni ya nini? HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card inamaanisha mchezaji atoke inje ya uwanja. WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light! Yellow-...
  10. Maranzana

    Plasma, led na lcd

    Wadau naomba ufafanuzi wa kina kuhusu maana, ubora, na tofauti iliyopo kati ya TV za PLASMA, LCD na LED
  11. Maranzana

    WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira wahukumiwa kifo (Source: Global Publishers)

    WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900… Marehemu Swetu Fundikira enzi za uhai wake. Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira.WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally...
  12. Maranzana

    Barabara ya kifo - wajua iko wapi hii?

  13. Maranzana

    Everything covered V/S Nothing covered except the eyes

    What they say about each other
Back
Top Bottom