Mmmh, kwani ile miaka ya sitini sabini barabara zetu zilikuwaje? Kitonga watu walikuwa wanapitaje, senkenge walikuwa wanapitaje? Au Lukumbulu au kule Ludewa ilikuwaje. hizi ni barabara za kawaida kabisa ambazo tumeshakuwa nazo hapa bongo for sometimes. Na si ajabu kwamba hata hii ipo bongo. though kwa mjibu wa FOF barabara hii ipo Bangladeshi if not Bolivia.ingekuwa bongo na huu udereva wetu wa kuungaunga tungeisha...



Kama barabara ya Lushoto/karibu na junction ya barabara ya Soni/Bumbuli
Mtera hii
Mmmh, kwani ile miaka ya sitini sabini barabara zetu zilikuwaje? Kitonga watu walikuwa wanapitaje, senkenge walikuwa wanapitaje? Au Lukumbulu au kule Ludewa ilikuwaje. hizi ni barabara za kawaida kabisa ambazo tumeshakuwa nazo hapa bongo for sometimes. Na si ajabu kwamba hata hii ipo bongo. though kwa mjibu wa FOF barabara hii ipo Bangladeshi if not Bolivia.