Search results

  1. Plato

    CRDB nao hovyo

    Tangu juzi katika ATM za CRDB kila nikienda hakuna huduma...maeneo matatu tofauti..naona hela za mishahara ya serikali zimewalewesha kama ilivyokuwa NMB. Kama.hamuwezi kuendesha ATM mzitoe mitaani. Na hiyo ni Dar...sijui mikoani itakuwaje
  2. Plato

    Taarifa na maazimio ya kamati kuu ya act tanzania

    Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) ___________________________________ Msingi wa Mtafaruku uliosababishwa na Mwenyekiti wa Muda wa Taifa Ndugu Kadawi Lucas Limbu ________________________________________________________________ 1. Ndugu...
  3. Plato

    Simulizi ya maisha yangu

    Simulizi ya Ludovick Joseph ---- Kwa wafuatiliaji wa taarifa katika vyombo vya habari na hasa magazeti wanafahamu kuwa nimekuwa nikihusishwa na matukio kadhaa ya kisiasa na hatimaye pamoja na Lwakatare mkurungezi wa ulinzi wa CHADEMA Taifa, Tulifunguliwa mashitaka na kuwekwa gerezani ambapo...
  4. Plato

    Ofisi ya ACT-Tanzania Arusha yavunjwa na kuibiwa vifaa

    Wana JF, Tunawasalimia kwa salaam inayoashiria uwazi na mabadiliko. Jana, ofisi ya mkoa ya ACT-TANZANIA, Arusha iliyoko katikati ya jiji mkabala na shule ya msingi Levolosi imevunjwa na watu wasiofahamika na kuibwa baadhi ya nyaraka muhimu na mali nyingine. vitu vilivyoibiwa ni pamoja na, 1...
  5. Plato

    Julieth Rushuli aenguliwa BAVICHA

    Wandugu, Julieth ameenguliwa kugombea umakamu mwenyekiti wa BAVICHA.Tuhuma zake ni kutumika na Shibuda na Zitto. Hata hivyo Julieth alikuwa akitumwa Shinyanga na chama kutokea idara ya sheria wakati ule wa kesi za Shibuda. Tuhuma ya pili ni kuwa alifoji kuwa diwani viti maalumu Karagwe...
  6. Plato

    Halima Mdee angejitoa uchaguzi BAWACHA

    Maigizo ya Halima Mdee kuchukuliwa fomu ya kugombea BAWACHA ni ya hatari sana kwa CHADEMA. hiyo ni njama tu ya kutaka chama kinakuwa mikononi mwa watu walewale wa kulekuleee. kwanza Halima bado ni kijana kuliko mwanamke. hatujui kama hata amekwisha kuolewa wala kama ana mtoto. Kwa haiba hiyo...
  7. Plato

    CHADEMA waumbuka mahakamani

    Jana ilikuwa siku ya ile kesi ya Lwakatare na Ludovick. Gazeti la Mtanzania limeanza kuchapisha mfululizo wa mahojiano liliyofanya na Ludovick kuhusu kuhusishwa kwake na mambo mbalimbali ikiwamo ugaidi.linaendelea jumapili ijayo. sasa chadema kwa hofu yao kuwa yawezekana ametoboa siri kuu ya...
  8. Plato

    John Mnyika kupitishwa kwa hila Ubungo

    Wakuu, Sasa ni dhahiri CHADEMA kimeanza kuwa kama CCM. John mnyika amekuwa akisema kinafiki kuwa hagombei uenyekiti wa chama Ubungo. Ajabu ni kuwa juzi na jana viongozi wa chama na wabunge maarufu kama Mdee na Lema, wametumika kutishia watu wajitoe ili mnyinka apite bila kupingwa...
  9. Plato

    Wizara ya sheria na katiba jengo lake

    wandugu, ni mara yangu ya nne sasa natembelea jengo la wizara ya katiba na sheria. kuna kipindi tulifanya kazi pale kwa siku kama mbili. hivi kwanini lile jengo halinaga maji na umeme unakatikakatika mara kwa mara? yaani vyoo vinanuka. kuna mshikaji anafanya pale ananiambia hakuna jengo chafu...
  10. Plato

    Waziri anaondolewa lakini naibu anabaki?

    SIJAFURAHIA kwanini kagasheki alitoka kwasababu alikuwa mchapa kazi sana. lakini cha kujiuliza ni kwamba, hivi inawezekanaje kagasheki awajibike lakini naibu waziri wake hajawajibika wala katibu mkuu, ina maana naibu waziri hakuwa anafanya kazi na waziri wake?hakuwa anamshauri? halafu nasikia...
  11. Plato

    Uwajibikaji: CHADEMA ni kama CCM tu!

    Najua baadhi ya wanachadema na mashabiki wao wataangalia hoja hii kwa ushabiki. Lakini naweka mizania kuwa chadema hapa tulipo imekuwa ya hovyo kama ccm ilivyo ya hovyo. Moja,alipopigwa mawe JK kule mbeya, CCM walikanusha na kujenga uwongo wa kitoto kuwa hakupigwa. Juzi Slaa naye kapigwa mawe...
  12. Plato

    Kutoa Figo!

    nimewahi kuandika humu sikupata attention. nimeona watu wanatafuta msaada wa figo kwa wagonjwa wao ambao baadaye wameripotiwa kufariki kwa kutozipata. mimi niko tayari ku donate figo moja. kama kuna mwenye ndugu anaumwa kiasi cha kuhitaji figo, au mwenye kujua wenye shida hii wawasiliane...
  13. Plato

    Selling my kidney

    Due to square financial constraints, I have thought of donating my kidney on sell basis. Am in Tanzania.I have learned that it is not easy to sell it due to some legal prohibitions and ethical prescriptions.However am willing.any body in need of a kidney or knowing how I can sell mine,let one...
  14. Plato

    Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!

    Mwigulu katoa kauli hii kupitia ukurasa wake wa Facebook. CHANZO: https://www.facebook.com/photo.php?fbid=433231983397298
  15. Plato

    Masalia: Mikakati Inaendelea

    zitto na masalia ndude habib mchange wakiwa dar live.mjumbe hauawi
  16. Plato

    Wassira Stephen autaka Urais!

    Ni kwa mujibu wa gazeti la TAZAMA!
  17. Plato

    Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    Msije mkasema mimi ninakinyongo na msimamo wa serikali. Nimeona ramani hii inayoonyesha mipaka ya ziwa nyasa. Sasa nashindwa kujua ugumu unatokea wapi wakati kumbe mambo yako wazi kabisa. Imetoka blog ya Mjengwa
  18. Plato

    Ripoti Ya Nchimbi Imeshatangazwa?

    Japo sitegemei chochote lakini napenda kujua kama wameanika hadharani kilichosemwa na wajumbe
  19. Plato

    Kwa Nini Watoto Wamebaguliwa Vitambulisho Vya Taifa?

    Mwenyekiti naomba ufafanuzi,katika kuandikisha watu watakaopoata vitambulisho vya taifa Dar na nchini kote,tumeambiwa ni wenye miaka 18 na zaidi.sasa najiuliza kuwa wenye miaka 17 kuteremka siyo raia,na au hili zoezi ni kwa ajili ya uchaguzi? maana hilo ndo hutaka miaka 18.je mtu mwenye...
  20. Plato

    Kipanya Atukana Waislamu?

    Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com
Back
Top Bottom