Wassira Stephen autaka Urais!

Wassira Stephen autaka Urais!

Status
Not open for further replies.

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
Ni kwa mujibu wa gazeti la TAZAMA!

attachment.php
 

Attachments

  • DSC00036.JPG
    DSC00036.JPG
    126.1 KB · Views: 471
Jk ameufanya urais uwe ni kitu rahisi sana sasa kila mtu anajiona anauweza,watanzania tujifunze kwa huyo jamb toka msoga kwamba urais si jambo la kukimbilia
 
zile kura 2000 kwenye nec zimempa confidence ya kipumbavu huyu mtu...
 
lakini unaona na vicha vya habari vingine kwenye hili gazeti?wewe unaviamini au wewe unaamini hiki kinachomuhusu wassira tu?chanzo chenyewe kinasema "atajwa" kwa hiyo kuna mtu mwengine mtaani huko ndo anasema.
 
Maajabu mengine ya Tanzania yanaanza kuandikwa kwenye records za dunia......... !!!!!

Nadhani, kwasababu anaona kuwa Urais wa Tanzania ni kitu Rahisi na, anao mfano hai wa Mh. DR. DR. DR. KIKWETE, the Dhaifu...according to Mnyika and supported by myself.., kwake haitamsumbua kuongoza taifa hili la watu wasio na muda wa kuchambua yupi atasaidia kuinua taifa hili kiuchumi, kisiasa, n.k
 
Ukifuatilia kauri zake siku hizi utangundua kuwa haya maneno yana ukweli ndani yake
 
*This is 100% Lowassa project.
Kwa tetesi zilizopo Lowassa ameandaa watu kama wanne hivi kutoka kambi yake ili kuongeza 'Bulkness' ya Competitors lengo kuua nguvu yoyote ya washindani dhidi ya kambi yake.
Wachumi wanasema ''Usiweke mayai yote kwenye kapu moja''

*Watu kadhaa kutoka kambi yake ambao wameandaliwa kutaka pia 'kugombea' sambamba na Lowassa ni
1/Steven Wassira
2/Marry Nagu
3/Aman Abeid Karume
4/Dr.Ghalib Bilali aka Mzee Mkasi
 
Kwani nini baana, NEC alikuwa wa kwanza kwa wingi wa kura, kama ukaribu na rais yeye ndiyo usiseme kila siku wanakunywa wote chai magogoni. Kama njia wanapishana macorridor yaleyale ikulu. Kwani nini baana. Kama wingio wa kupigiwa kura kwa JK na yeye wassira yumo kwa asilimia 99.7%, kama ukaribu na Butiama yeye ndiyo usiseme.

Hiki ni kipenzi kipya cha wana CCM na ushahidi ni kura za Dodoma.

Kwani nini bana kura nyingi alizipata pale alipotoa ahadi yaaaaaaaaaaa: NIPENI KURA NIKAWASHUGHULIKIE CHADEMA.sasa STEPHANO MAGATI WASSIRA rasmi mbio za urais.
 
Fedha ya Tanzania itazidi kushuka thamani ha ha ha.
 
CCM ina wenyewe....!
Mh Wassira anayo haki ya kuota Urais.., hakuna Mh Waziri yeyote wa awamu hii ambaye hana ndoto hiyo...!
Awamu ya nne imeonekana taasisi ya Urais hapa bongo sasa ni sawa na nafasi yeyote ya kuweza kuchaguliwa ili mradi una savings yako Bank...!
Hii ni hatari sana,
Tuache waadilifu walio na sifa ya kuigombea nafasi hiyo ambao bado kupendekezwa na Watanzania. Subira huvuta kheri na hekima pia....!
 
kwani nini baana, nec alikuwa wa kwanza kwa wingi wa kura, kama ukaribu na rais yeye ndiyo usiseme kila siku wanakunywa wote chai magogoni. Kama njia wanapishana macorridor yaleyale ikulu.kwani nini baana.kama wingio wa kupigiwa kura kwa jk na yeye wassira yumo kwa asilimia 99.7%, kama ukaribu na butiama yeye ndiyo usiseme.hiki ni kipenzi kipya cha wana.ccm na ushahidi ni kura za dodoma.kwani nini bana kura nyingi alizipata pale alipotoa ahadi yaaaaaaaaaaa: Nipeni kura nikawashughulikie chadema.sasa stephano magati wassira rasmi mbio za urais.
kwa hiyo unalichoandika hapa ni mawazo yako au? Maana nataraji ingekuwa taarifa rasmi kungekuwa na chanzo cha habari pia.
 
Kumbukeni huyu mzee ni mgomvi na ana roho mbaya sana. Baada ya Kingunge kuzeeka, CCM wakawa wanamtafuta mtu mwingine wa kuvaa viatu vya Kingunge. Makamba asingeweza maana hana roho mbaya vya kutosha ambayo ndio iliyokuwa sifa kubwa ya mzee Kingunge. wasira ameonekana anafaa kwa kuwa ametimiza sifa (ROHO MBAYA) na ndio maana baada ya Wasira kudhihirisha sifa hii, Mzee Kingunge ameweza kupumzika kidogo.
 
Ikitokea jamaa amegombea urais na kushinda, kweli nitahama nchi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom