Search results

  1. mayowela

    Chuo kipi Tanzania chenye Unafuu wa Ada kwa kusoma Masters

    Shukrani, nimepitia vyuo vingi naona kwa SAUT ada yao iko poa poa sana kwa MBA
  2. mayowela

    Chuo kipi Tanzania chenye Unafuu wa Ada kwa kusoma Masters

    Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration. Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii. Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
  3. mayowela

    Tumuombee Msamaha Godzilla

    once upon a time i was write this thread -2017
  4. mayowela

    Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

    hahahahah mimi nipo aisee
  5. mayowela

    Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

    Muda aliotoka na muda tukio limetokea havipishani sana, wamebeba tukio lakini kimtindo, ndiomana hata shuhuri za mazishi hawako karibu nazo sana.
  6. mayowela

    Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

    Yeye alikuwa akiendeshwa but alikuwa kalewa, pia dereva aliekuwa akiendesha ambae ni ndugu yake alikuwa kalewa pia, watu wanamengi vifuani mwao ila hawapati watu sahihi wakuwashirikisha. Mwamba alikuwa anapitia wakati mgumu na tangu April Clouds ilivopitisha panga na yeye alikuwemo, Kifo hakina...
  7. mayowela

    Msaada: Naomba kujuzwa njia rahisi mtu akitokea Mpanda Katavi kwenda Morogoro

    chukua basi la Katavi mpaka Mbeya, then chukua Sauli from Mbeya to Moro, kwisha kazi, au nenda mpaka sumbawanga chukua Golden deer/majinjah ya Dar shuka zako Moro
  8. mayowela

    Yupo Wapi JULLY TAXI yule wa saladin

    yuko mwanza maeneo ya mabatini
  9. mayowela

    Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

    si kweli TIGO wameisaliti Clouds, Tigo bado anafanya biashara na Clouds ndio maana mpaka sasa unasikia matangazo ya Tigo yakichezwa, Tigo aliingia mkataba na Clouds kwenye tamasha la Fiesta, mkataba ule ulikuwa na ukomo lijue hilo kwanza, japo ukomo sintouweka wazi sababu huwa kuna terms na...
  10. mayowela

    Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

    Mbudu alishaondoka RFA yuko Times fm ikuhizi
  11. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    hahahahahahha
  12. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..? TUWAPE MUDA
  13. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    KTN/CITIZEN vipindi gani?
  14. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    Zamani ulikuwa unatumia njia gani kumsikia?
  15. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    Hahaha ID yake sio
  16. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    Nakuelewa masta, nachangamsha Genge, Vitu vingi vimeishafanyika, hata BIG SUNDAY LIVE, ni marudio tu, but kwa kwetu huku na kama hufatilii mambo tunaona ni kitu kipya. Kudos
  17. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    Hahahahaha
  18. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    Same to Salama Na.., si ndio..?
  19. mayowela

    Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

    Kwenye Mkasi, lini muhojiwa na muhoji walicheza games, kunywa kinywaji?
Back
Top Bottom