Search results

  1. M

    Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

    Haya muone huyu nae anashindwa hata kutofautisha kati ya kuanzishwa na Matajiri na kuendeshwa na taasisi za kidini. Hizo hapo juu zimeasisiwa na kuendeshwa na madhehebu ya Ki-kristo. Majina yanayojitokeza ni kuwaenzi waumini watajwa kwa michango yao katika dini husika.
  2. M

    Lowassa amchangia Mufti Simba 13mil

    Hizi ndio mbinu zakupata kura............kwa watu wa dizaini hii.............1) wenye uchumi mdogo 2) shule ndogo. Hapa tayari jamaa ameshajihakikishia block ya kura za Mufti. Anatafuta block jingine... come 2015 he is the president, hamna cha fisadi wala shangazi yake fisadi! siku 90...
  3. M

    How do you feel to see this inequalities between politicians and other professions?

    Papa D are you sure? Let someone else who knows the place confirm before writting my coments as I just can't believe what I have read and seen.
  4. M

    Idara yatumia milioni 350 kukarimu wageni - Nishati na Madini

    Mgosi na kamati yako ninawafagilia na kuwakubali angalau kwa hili. Hili ni moja na dogo sana lakini kubwa ni pale serekali inapokuwa na kigugumizi kuwashughulikia wahusika. Inauma na inakera sana kuona kazi nzuri kama hiyo ya kufichuwa madudu inaishia kwenye makaratasi ambayo baada ya muda...
  5. M

    Udom na siasa za udini

    Majuva kanena kweli nami kuanzia sasa najaribu kuwavumilia kama mlivyotuvumilia miaka nenda rudi. Waswahili wanausemi usemao mazoea yana tabu..... mtusamehe wenzetu tulizoea hivyo kwamba nchi hii ni yetu peke yetu wengine ni kuburuzwa tu, ni kama vile wamasai wanavyoamini kuwa ng'ombe wote ni wa...
  6. M

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Msimamo wetu ungalileta maana japo kwa mbaali kama waliohusika na wizi huu kwa upande wetu wangeadabishwa kwa aina yoyote ile. Si rahisi kwa wazungu kutuibia bila ya ushirikiano na watu wetu. Au kukata mzizi wa fitina naona ni bora akabidhiwe kitita mama Claire Short kwani ndie aliejitokeza...
  7. M

    Kibaha Secondary kiboko wagomea mock exams

    Bravo vijana, hiki ndicho kizazi kitakachoikomboa nchi hii.
  8. M

    Wahadhiri Wagoma Tena UDOM!

    Breaking news si lazima ziwe na reliable source. Nami pia nimezipata na source yangu ni mwanagu anaesoma pale. Nahisi hii ni virus kama wale wa Tunisia na Misri, kaingia UDOM na anaweza kusambaa pande yoyote ndani ya nchi hii kwani kote kuna mazingira rafiki ya kirusi kuishi na ku-multiply.
  9. M

    Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

    Inawezekana nadharia hii ni ya kweli, pita pita yangu kitaani pale Sinza kwa wajanja nikapishana na lori limendikwa " MTALAKA HATONGOZWI" Kazi kwetu tulio na mywife zetu.
  10. M

    Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

    Unanikumbusha katika pitapita yangu kitaani pale Sinzawa wajanja nikaona nikakutana na lori lenye maandishi haya " MTALAKA HATONGOZWI" kazi kweli kweli tuliona na mywife zetu.
  11. M

    Government signs more Richmond-type contracts

    Hivi tuseme mkuu wa kaya hayajui haya, jibu haiwezekani kuwa hayajui; na kama anayajua anachukua hatua gani! Ninamashaka kwa ukimya huu nae yumo. ....tanganyika ya wadanganyika......kwishnei
  12. M

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Tuwalipe hao Dowans inauma sana Mh! alafu afya bure na elimu bure haiwezekani, tunawapa kazi vitukuu vyetu wakija watajiuliza hawa baba zetu na mama zetu walikuwa na vichwa kama vyetu au vyao vilikuwa mstatili kwa mambo serikali yetu inavyofanya Mh! tutafika tu lakini tukiwa hoi bin...
  13. M

    Serengeti on road to ruin, scientists warn

    Sidhani kama hawa wazungu maporofesa wana agenda ya siri katika hili. Nashauri tulijadili kwa kina hili swala, kwani katika kufanya hivyo itatoa taswira ni kiasi gani tunajijali na kujali rasilimali yetu kwa vizazi vijavyo. Katika yote kama mwisho wa mjadala tutabaliana barabara isijengwe...
  14. M

    Maneno au lugha zinazonikera

    Naongezea, nisingalipenda kusikia neno msaada pale Serikali au Mbunge anapofanya wajibu wake kwa wananchi. Kwa mfano utasikia waziri akisema "Serikali itawasaidia wananchi kujenga barabara" Kwa mtizamo wangu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo vinginevyo isichukue kodi kwa wananchi iache...
  15. M

    Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

    Mjadala mzuri aliouanzisha BM ingawa ni kweli anajichanganya pale anapokubali haja ya mabadiliko wakati huo huo anashabikia CCM. lakini pia nafurahi kuwa amekubali kuwa kipindi hiki tutarajie kupata wabunge wengi wa upinzani. Kama ndivyo basi hii itakuwa njia moja ya kuleta mabadiliko kwani...
  16. M

    Part time IT Support administrator required

    Mhh, nami naanza kuwa na wasiwasi na huu msisitizo wa kinadada, kama unataka kina dada tu si useme badala ya kuwapotezea njemba muda wao kukutumia CV zao. Ni bora uwe very specific man. If I were you I would have simply ask for Female IT specialist, kwisha.
  17. M

    Malecela: CCM isihusishwe na ufisadi

    Mtaji wa CCM ni umaskini wa wawaDanganyika. Ni pale wenye nchi yao watakapo komboka kiuchumi ndipo CCM watakapo-ondoka madarakani. CCM wanalifahamu hili na ndio maana hawanadhamira ya dhati kuwakomboa wananchi kiuchumi. Pili ni kukosa elimu, wanatumia kuwahofisha wenye nchi yao vijijini kuwa...
  18. M

    Hodi Wajomba na Mashangazi

    Natumai nyote ni wazima wa afya. Haya, naomba nijiunge nanyi wana JF kwani kwa kweli mko bomba na mnatisha kwa kila hali. Nimependezewa na uga wenu.
Back
Top Bottom