Search results

  1. K

    Waafrika Kusini mwa jangwa la sahara hatuko na kinga dhidi ya COVID 19

    Tangu kuanza kwa ugonjwa wa Corona mwishoni mwa mwaka 2019 na ugonjwa kuanza kuenea kwa kasi katika nchi zenye majira ya baridi na kuathiri zaidi jamii yenye ngozi nyeupe kuna dhana potofu ilijengeka tukidhani virusi vya corona haviwezi kufua dafu katika mazingira ya joto. Baadaye mwelekeo wa...
  2. K

    Nyongeza ya Tsh. 600 kwenye bei ya Korosho ilivyogeuka mateso kwa Mkulima

    Wakulima wangelijua kuwa nyongeza ya sh. 600 kwenye bei ya wafanyabiashara ya sh. 2,700 ingekuja kuwaponza namna hii wangeliuza korosho zao. Wala hakuna mtu angehakiki mashamba wala kutaka kujua korosho kama zimetoka Msumbiji, Malawi au Zambia. Zote zingenunuliwa na Halmashauri zingepata...
  3. K

    Nahitaji dereva wa Uber

    Natafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa. Mwenye uhitaji ani pm
  4. K

    Je mfumo wa rufaa na matibabu bure kwa wazee una matatizo?

    Najiuliza hili swali baada ya aliyekuwa Mbunge kuomba msaada wa rais ili asaidiwe matibabu. Na kweli rais alituma gari la wagonjwa na kumsafirisha moja kwa moja kwenda Muhimbili. Ni wabunge hawa hawa waliotunga sheria ya msamaha wa matibabu kwa wazee na mfumo wa rufaa kwa wagonjwa toka mahali...
  5. K

    Ni wakati mwafaka kwa madereva wa mabasi na malori kupimwa utimamu wa akili kila waombapo leseni

    Ni kwa muda mrefu sasa nchi yetu imeendelea kukumbwa na majanja ya ajali ambazo zingeweza kuepukika iwapo tungekuwa na madereva makini barabarani. Miongoni mwa madereva wa mabasi na malori utimamu wao wa akili ni wa kutilia shaka hivyo umakini wao wawapo barabarani ni mdogo sana. Nashauri...
  6. K

    Magufuli afuta ndoto za waliotaka Lowassa ashitakiwe mahakama ya mafisadi

    Baadhi ya watanzania waliotegemea kuwa Magufuri atampandisha kizimbani Lowassa kwa tuhuma za ufisadi wanaodai aliufanya akiwa mtumishi wa umma zimeyeyuka baada ya Magufuri mwenyewe kutamka kwa kinywa chake kuwa hatofukua makaburi maana yanaweza kumshinda kuyafukia. Yeye ameamua kuanza...
  7. K

    Mipaka iliyowekwa na wakoloni tunaikubali au tunaikataa?

    wakoloni ndo walichora mipaka ya hizi nchi tuzipendazo na ambazo tunataka hata kumwaga damu kwa ajili ya kuilinda mipaka hiyo. Swali ni je mipaka iliyochorwa na wakoloni tunaikubali au tunaikataa? kama tunaikubali mbona tunataka kulazisha kuchukua ambavyo hatukupewa na wakoloni? kama...
  8. K

    Meza zinauzwa

    Meza sita used zinauzwa, unaweza kuzitumia kwa ajili ya darasa la computer au matumizi mengineyo. ni meza imara sana top yake ni ya mninga na miguu yale ya chuma. bei ni sh. 80,000 tu kwa kila meza. nimeambatanisha picha unaweza kunipigia kwa no. 0754293720/0652827110
  9. K

    Nauza pikipiki aina ya Skymark

    Nauza pikipiki aina ya skymark, inatembea na ipo katika hali nzuri, tairi zake ni mpya kabisa, imesajiliwa kwa namba mpya na kwa jina langu mwenyewe Sababu ya kuiuza, nimechoka kutembelea pikipiki nataka kununua gari. Bei sh. 750,000 maongezi yapo Kwa serious buyers wanipigie kwa no. 0652827110
  10. K

    Kwa wanaotaka Fremu za milango ya nyumba

    kwa wale wote wanaoojenga na wapo kwenye hatua za kuweka fremu za milango wanione. Fremu zinapatikana kwa gharama ya sh. 110,000 tu. Mbao inayotumika ni mninga pure . Unatoa order yako pamoja na vipimo unakamilishiwa ndani ya muda mfupi. Wahi offer hii ya mwisho wa Mwaka. Napatikana Ubungo...
  11. K

    Urekebishaji ADA kwa shule za Private Serikali ifanye kwa umakini mkubwa

    Nikifanya mahesabu hapa tuseme shule X ina mikondo 4 yenye wanafunzi 40 kila mmoja kwa kila kidato. inamaana itakuwa na wazafunzi 160 wa kidato kimoja na kwa vile vidato viko vinne kutakuwa na wanafunzi 160x4=660. Kama kila mwanafunzi wa day atalipa ada ya sh. 700000x640 mapato yote ya shule...
  12. K

    Balozi Sefue Ombeni, jipime na ustaafu kwa manufaa ya Umma

    Unatembea na Magufuli kujionea madudu ya serikali ya Kikwete ambayo wewe ulikuwa katibu mkuu kiongozi, kama ni kushindwa kusimamia na wewe ulihusika sana, ili kutorudulisha nyuma jitihada za Magufuli jiweke pembeni kwa kustaafu. Tutaheshimu maamuzi yako.
  13. K

    CCM wanafaa kuwa chama kikuu cha Upinzani kuanzia tar 25/10/15

    kwa watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii, kesho wafanye maamuzi magumu ya kukifanya CCM kuwa chama kikuu cha upinzani kwa sababu zifuatazo. 1. Wabunge wa ccm walishashindwa kutambua wajibu wao toka mfumo wa vyama vingi uanze hivyo hudhania wao ni sehemu ya serikali na kazi yao ni...
  14. K

    Lowassa ni Masihi wa Tanzania

    Ameacha utukufu wote CCM, CCM walimwita waziri mkuu mstaafu, sisi tulimwita waziri aliyejiuzuru, ameacha ufahari wa kulipwa marupurupu ya uwaziri mkuu mstaafu, ulinzi, pensioni, heshima zote bali akaona ni bora aungane na wanyonge wa tanzania hii ili kuleta mabadiriko ya kweli na maendeleo...
  15. K

    maombi ya mdaharo kati ya wana CCM wasio wagombea na Lowassa ambaye ni mgombea ni dharau kubwa sana

    kumekuwepo na maombi ya mdaharo kutoka kwa wana ccm mbalimbali ambao si wagombea ili wapambanishwe na mgombea wa uraisi ndugu Edward Lowassa wa chadema/ukawa. maombi hayo hayakubariki kwa sababu yanaonyesha dharau kwa mgombea wa chadema. Samweli Sitta au mtu yeyote ndani ya ccm ambaye si...
  16. K

    natafuta nyumba ya kupanga

    Nyumba nzima (angalau vyumba 3 vya kulala kimoja kiwe self contained) inatafutwa maeneo ya Mwenye,Sinza au Kijitonyama. iwe ina fensi, huduma ya maji, nzuri na barabara iwe inafikika mpaka nyumbani. budget yangu ni kati ya 700,000 mpaka 1,000,000
  17. K

    Alama 'e' yanini kama sio ufaulu

    Baraza la mitihani limeongeza alama E kwenye matokeo ya kidato cha nne. katika taarifa yao ni kuwa alama E sio ufaulu wakimaanisha inanguvu sawa na F. Hivyo mwanafunzi akipata E katika masomo yake yote Kumi na mwingine akapata F katika masomo yake kumi wote wanakuwa wamepata ZERO ingawa kwa...
  18. K

    Samli na asali mbichi vinauzwa kariakoo

    Kwa wale wakereketwa wa Dawa ya ndugu Julius Mahinya hasa walioko Dar es salaam, Samli, Asali mbichi pamoja na vitunguu maji vinapatikana kariakoo stend ya mabasi ya Mwenge. Magari ya kwenda Mwenge kutoka kutoka Kariakoo yanapoondoka, yakikunja tu kwenye kona pale kushoto kwako yamejipanga...
  19. K

    Kibarua kizito kwa wanawake kupata wachumba Tanzania

    Wanawake wa Tanzania wanakabiliwa na kibarua kizito cha kupata wachumba wa kuwaoa baada ya idadi yao kuongezeka kwa zaidi ya asilimia 4.4 zaidi ya idadi ya wanaume. Takwimu za idadi ya watu za mwaka 2012 kulingana Tanzania bureau of Statistics zinaonyesha kuwa Tanzania ina idadi ya watu...
  20. K

    Kiapo cha utii kwa vijana waliofuzu JKT

    "............, naapa kwamba...... nitailinda Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.......". Kiapo hiki kimenistua kidogo. kwa nini vijana waape kuilinda serikali badala ya kuapa kuilinda katiba ya jamhuri wa muungano? Kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie. Maana kama ndo uzalendo...
Back
Top Bottom