Nauza pikipiki aina ya Skymark

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
539
Nauza pikipiki aina ya skymark, inatembea na ipo katika hali nzuri, tairi zake ni mpya kabisa, imesajiliwa kwa namba mpya na kwa jina langu mwenyewe

Sababu ya kuiuza, nimechoka kutembelea pikipiki nataka kununua gari.

Bei sh. 750,000 maongezi yapo

Kwa serious buyers wanipigie kwa no. 0652827110
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom