KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 544
Kwa wale wakereketwa wa Dawa ya ndugu Julius Mahinya hasa walioko Dar es salaam,
Samli, Asali mbichi pamoja na vitunguu maji vinapatikana kariakoo stend ya mabasi ya Mwenge.
Magari ya kwenda Mwenge kutoka kutoka Kariakoo yanapoondoka, yakikunja tu kwenye kona pale kushoto kwako yamejipanga maduka yanayouza hivyo vitu.
All the best kwa wenye kuvihitaji