Search results

  1. M

    Uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi

    Mimi ni HRO II niko Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tanga ninatafuta mtu wa kubadilishana nae katia mojawapo ya mikoa ifuatayo Iringa, Dodoma, Morogoro na mwanza namba zangu za simu ni 0712203180,0769890903 na 0686200597 hii na mara tu mhe. Rais John Magufuli akiruhusu taasisi husika Tamisemi...
  2. M

    Nafasi ya uhamisho

    Mimi ni Afisa Utumimishi II niko katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tanga Natafuta mtu wa kubadilishana nae katika mojawapo ya Mikoa ya Iringa, Morogoro na Dodoma mawasiliano yangu ni 0712203180, 0769890903,AU 0686200597
  3. M

    Nahitaji kununua Line M-pesa, Airtel money, na Tigo pesa

    Wadau, Nahitaji kununua Line tajwa hapo juu. Naomba aliye nazo ataje na gharama niko Tanga.
  4. M

    Msaada wa mawazo: Nataka kununua Toyo kwa ajili ya mizigo, je italipa?

    Nina wazo la kununua Toyo kwa ajili ya kuchukulia mizigo. Je, kinalipa hasa kwa maeneo yenye masoko. Asanteni wadau
  5. M

    Ninahitaji kuwa wakala wa Benki, nifanyeje?

    ninahtaji niwe wakala wa benk ya nbc lushoto je taratibu za kuwa wakara na sifa ni zipi naomba ufafanuz kwa anayefahamu
  6. M

    Msaada kuhusu duka la dawa baridi

    tafadhal wadau naomba kujua ni gharama kiasi gani kama ukitaka kufungua duka la kawaida la dawa baridi ahsante
  7. M

    Gharama za kufungua duka la dawa

    naomba kuuliza hasa kwa wale wenye uelewa wa kuuza duka la dawa ni kiasi gan kwa duka la standard kama unataka kufungua pia unapitia mchakato gani mpaka kupata kibali naomben msaada wa mawazo
  8. M

    Ni kipi cha kuzingatia katika biashara?

    Naomba kupata ufafanuzi mzuri wadau, sijawahi kufanya biashara. Napenda kuuliza, ni mambo yapi ya kuzingatia na kuchukua ukianzisha biashara yoyote?
  9. M

    Msaada: Nataka kufungua M-pesa, Airtel money na Tigopesa

    Wanajukwaa mimi ninampango wa kufungua biashara tatwa hapo juu lakn cjui nianzie wap. na je ni kias gan unaweza kuanza nacho pia unawezaje kupata hzo line kwa gharama ipi tafadhal naomben mawazo yenu wadau nawasilisha
  10. M

    Msaada jaman wapi niende?

    wadau nilipata kaz kupitia sekretariat ya ajira nikapangwa halmashaur nipo mzigon tayar pia nimepata tume ya utumish wa mahakama zote ni post ya Hr. sijui upande wa mahakama pakoje. ahsanten wadau ikumbukwe niljkaa kitaa miaka 3 MUNGU akifungua njia hazuiliki wadau msikate tamaa ahsanten
  11. M

    Nimepata kazi ninamshukuru Mungu na wana jf

    Nitakuwa mnyimi wa fadhira kutokumshukuru Mungu na wanajamii forum. Ambao hamjapata kaz kweli wakat ukifika Mungu anatenda nany pia msikate tamaa. Binafsi nilimaliza chuo level ya degree mwaka 2011 mpaka leo nilvoandka nimepata kaz kupitia secretariat ya ajira du Mungu acha aitwe Mungu...
  12. M

    BoT watangaza nafasi za kazi

    Wanajamvi Bank of Tanzania wametangaza nafasi mbalimbal za kazi. Tusiogope kuomba kwan Mungu ndo anajua nan awe nani. tusihofu kwa kujua kuwa pale kuna vigogo na watoto wa vigogo ahsanteni
  13. M

    Naomba kufahamu Kanisa la Wasabato Mabatini Mwanza lipo sehemu gani?

    Kwa wale wakazi wa Mwanza na hata wasio wakazi wa Mwanza napenda kufahamishwa mahali lilipo kanisa la wasabato la Mabatini Mwanza pia na mahubiri yanayoendeshwa na na kanisa hilo kwa sasa popote jijini Mwanza. Ahsanteni.
  14. M

    Kuchelewa kutoa matokeo ya Usaili

    wadau napenda kujua kwa baaadhi ya taasisi zinazowafanyia watu usaili lakini matokeo yake wanachukua muda mrefu kuwaita kazini. Wengine huchukua takribani miezi miwili, mitatu, hadi mitano. Hivi tatizo linakuwa ni nini? mi ninachokijua ni kuwa unapowafanyia watu usaili ni lazima tayari bajeti...
Back
Top Bottom