Gharama za kufungua duka la dawa

Man tofa

Member
Oct 7, 2014
60
8
naomba kuuliza hasa kwa wale wenye uelewa wa kuuza duka la dawa ni kiasi gan kwa duka la standard kama unataka kufungua pia unapitia mchakato gani mpaka kupata kibali naomben msaada wa mawazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom