Naomba kufahamu Kanisa la Wasabato Mabatini Mwanza lipo sehemu gani?

Man tofa

Member
Oct 7, 2014
60
8
Kwa wale wakazi wa Mwanza na hata wasio wakazi wa Mwanza napenda kufahamishwa mahali lilipo kanisa la wasabato la Mabatini Mwanza pia na mahubiri yanayoendeshwa na na kanisa hilo kwa sasa popote jijini Mwanza. Ahsanteni.
 
kwa wale wakaz wa mwanza na hata wasio wakaz wa mwanza napenda kufahamishwa mahal lilipo kanisa la wasabato la mabatini mwanza pia na mahubir yanayoendeshwa na na kanisa hlo kwa sasa popote jijini Mwanza ahsanteni

liko mlango mmoja,upande wa pili wa barabara karibu na makaburi ya wale wanaojitoa muhanga na kulipua mabomu kwa kisingizio cha dini.
 
Panda gari yoyote inaayopita Musoma Road shukia Mlango mmoja.Vuka barabara upande wa pili kuwa kama unaenda posta B kuna kanisa karibu kabisa na makaburi ya waislam
 
Back
Top Bottom