Msaada jaman wapi niende?

Msaada jaman wapi niende?

Man tofa

Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
60
Reaction score
8
wadau nilipata kaz kupitia sekretariat ya ajira nikapangwa halmashaur nipo mzigon tayar pia nimepata tume ya utumish wa mahakama zote ni post ya Hr. sijui upande wa mahakama pakoje. ahsanten wadau ikumbukwe niljkaa kitaa miaka 3 MUNGU akifungua njia hazuiliki wadau msikate tamaa ahsanten
 
wadau nilipata kaz kupitia sekretariat ya ajira nikapangwa halmashaur nipo mzigon tayar pia nimepata tume ya utumish wa mahakama zote ni post ya Hr. sijui upande wa mahakama pakoje. ahsanten wadau ikumbukwe niljkaa kitaa miaka 3 MUNGU akifungua njia hazuiliki ha wadau msikate tamaa ahsanten

mkuu inabidi ubaki huko huko halmashauri maana utakuwa umeshaingia kwenye payroll .huwezi kutoka tena uende mahakama system zinakutema na unaweza ukakoswa kazi kabisa na kumbuka umesota miaka mitatu uko kitaa...kwa kweli ajira ngumu aise ngoja na sisi ambao hatujapata tuwe na subira
 
Tulia tu huko Mzee hazina ndo wanakokutambua vinginevyo utalia na kusaga meno.
 
Tulia tu huko Mzee hazina ndo wanakokutambua vinginevyo utalia na kusaga meno.

nashukuru mdau nami nawaombea sana mpate kaz kuna mtu aliniambia niandke barua ya kuacha kaz then niende mahakaman tume ya utumishi eti hakuna tatizo ndiyo maana nikaandka nipate msaada ahsanten sana nany mtapata jaman kuweni na subira
 
Ufahamu wangu kuwa jambo la kubadilisha kazi au kuacha linawezekana unatakiwa kufuata utaratibu maana kwenye barua ya kuajiriwa wanasema unaweza acha kazi lakini unatakiwa utoe taarifa na ufanye kazi miezi mitatu then ulipe mshahara wa mwezi mmoja....kuna watu wamebadilisha kazi serikalini nawafahamu ni kufuata utaratibu tu ndio jambo la msingi
 
Back
Top Bottom