Search results

  1. H

    Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

    UNAJUAJE LABDA TUNDU LISSU NDIE ALICOPY?? AG MPYA KAMZIDI TUNDU LISSU KWA MENGI NI LECTURER NI CHAIRMAN TUNDU LISSU NI MWANAFUNZI ANAWEZA KUWA ANACHUKUA VITU KWA WATU SABABU ANA SEHEMU YA KUONGELEA, TUNDU LISU NI MWANASIASA LAZIMA UJUE TOFAUTI YA MWANASIASA NA MWANASHERIA HAPO NDIO ANAKOSEA...
  2. H

    Upper hill land an acre goes for sh 551 million = 11.020 billion Tanzanian shs.

    Even KIBERA,NGARA,KASARANI,GIKOMBA are planned also??or those places are not in Nairobi??not to mention othet places
  3. H

    Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    [emoji115][emoji115]
  4. H

    Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    2015 thamani ya gar hili $550,00/= cjui sasa bado kodi haya tuone isije kuwa la kukodi kama ile nyumba
  5. H

    Botswana waichana live USA

    Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe...
  6. H

    Zitto Kabwe ajaza fomu ya Utumishi, pia awasilishwa Muswada binafsi wa kulazimisha Viongozi kuweka wazi mali na madeni

    Mbona magari yake hajaandika??[emoji604][emoji604] Au sio mali Hasa lile HUMMER
  7. H

    Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga

    Nashangaa shepu hii sio ya kuvaa nguo kama hizi halafu ktk TV
  8. H

    Namtafuta X wangu

    Hata kama anatafutwa na wasiojulikana we utasema tu unamjua [emoji601][emoji379][emoji379]
  9. H

    Gwajima apingana na msimamo wa Serikali juu ya mji mkuu wa Israel. Asema Jerusalem ndio mji mkuu, ampongeza Spika Ndugai

    Katika watu wapotoshaji na wachonganishi ambao wanaweza kuleta hata vita Tanzania ni GWAJIMA Mnamkumbuka ASKOFU KIBWETERE?? Bas ndio sample yake huyu Ila katika watu watakao pata taabu za dunia ktk utawala huu ni huyu jamaa kuliko hata hao mafisadi system inamxemshia dawa yake kutokana na...
  10. H

    Nahis mke wangu kapewa ujauzito na staff mwenzake na akautoa.

    Yote inaweza kuwa sawa ila ila ulipokosea ni kuomba namba ya simu ya mke eti umpigie [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
  11. H

    Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

    NILIKUA NAJIULIZA UKIMYA WA LOWASSA NI KWA NINI?? KUMBE KASHAMBIWA UKIBEEP TUNAPIGA SASA JPM ANAPIGA...NAONA 2020 ATASIMAMA MBOWE
  12. H

    Zitto Kabwe: Nimekutana na Mwenyekiti wa CHAUMA, nafurahi tumekuwa na mazungumzo mazuri

    KESI YAKE ILIISHA??AU TUACHE MAHAKAMA IAMUE SAWA... HAYO MAZUNGUMZO YAWE NA MATUNDA MAANA WENZIO WALIVYOUNDA UKAWA ULIWAKANA SASA UNAUNDA UKAWA 2020 TUSUBIRI NANI ATAKUA KIONGOZI WA UMOJA HUO AU NANI ATASHIKA BENDERA
  13. H

    Nape Nnauye ahoji upatikanaji Mwenyekiti

    UNAPOKUA KATIKA BOTI KATIKATI YA BAHARI UNAJARIBU KUZIBA MATUNDU MAJI YASIINGIE MKAZAMA HATA UKIWA UNAZAMA HUWEZI KUPANDA KWENYE BOTI UTAITIA MATUNDU MZAME WOTE ETI "KIFO CHA WENGI" SHEREHE SIASA BANA
  14. H

    Zitto Kabwe na Freeman Mbowe wakutana na kuzungumza kuhusu uchaguzi wa marudio

    Lowasa mbona hayupo? Kweli wagombanao ndio wapatanao Ndio maana unaambiwa mke na mume wakigombana usiingilie... Zitto aligoma kabisa mambo ya UKAWA leo kaona kabaki peke yake anakula matapishi Siasa kweli uzushi
  15. H

    Rais kugawa maburungutu ya fedha: Wasaidizi wa Rais wako sahihi?

    KELELE ZOTE ZIMEISHA MARA MGOMO MARA HIVI... PESA SABUNI YA ROHO ILA HUU UTARATIBU SIO RASMI ILITAKIWA KUWE ZA ZILE DAMMY CHEQUE AMBAYYO ITAONYESHA NI BOT(SERIKALI)KAMA CASH BAS NI KUTOKA MFUKONI PAPAA PADLOCK[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
  16. H

    Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

    HII NI STUDIO SIO TV STATION TUACHE UTANI...
  17. H

    Mke wangu nilishawahi kumwacha talaka moja, naona ya pili inamnyemelea

    Suala la ndoa kamwe halijadiliwi ktk kadamnasi ya watu tena usiowajua hata majina yao Wakati mnatongozana mlitangaza??kwanza mi nahisi we huna mke wala maandishi yako hayaonyeshi kama umebalehe Tatizo hela..,,je ukimfumania juu ya kiuno cha mtu sio unaua??dini zilisema wanawake tuishi nao kwa akili
Back
Top Bottom