Search results

  1. FIDIVIN

    Lema na Mbowe wajichanganya

    Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi. source: Tbc habari sa 2
  2. FIDIVIN

    Revealed: Watoto wa 'vigogo' waliotimuliwa TANROADS, Majina haya hapa...!

    Kwani walikuwa na nafasi zipi? Make FTC ni elimu pia inayojitosheleza kwa nafasi fulani. Pia najiuliza hivi hawa watoto wa vigogo waende wapi? mbona wanapigwa vita kila sehemu hata wale waliosoma vizuri akishakuwa mtoto wa kigogo basi kachomekwa. Je wao si haki yao kupata kazi nzuri hapa TZ...
  3. FIDIVIN

    Mshahara wa UDSM umeingia jamani?

    Nia yako ni kudhalilisha watu e!!!!? Lecturer gani atakopa kwa mtu kama wewe huwezi hata kutunza siri? Acheni mambo ya kitoto.
  4. FIDIVIN

    Biashara ya pharmacy

    Nataka kufungua pharmacy, namwitaji Pharmacist aliyesajiriwa na anayeelewa utaratibu wa kuanzisha pharmacy ili anisaidie kuanzisha biashara hii mtaani kwetu hapa Dar, Mtaji wangu ni mdogo so natafuta yule ambaye hatanitoza pesa kubwa. Kikubwa awe mwaminifu na siko tayari kutoa rushwa huko...
  5. FIDIVIN

    Mashine ya kusaga na kukoba inatakiwa

    Wana Jf Natafuta wapi naweza nunua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi. Mwenye taarifa tafadhali anijuze ikiwezekana size na bei au ani PM. Am serious friends. Thanks
  6. FIDIVIN

    Uwakala m-pesa umesitishwa?

    tigo nilienda jana wamesitisha, voda sina uhakika
  7. FIDIVIN

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu nakupongeza kwa kuchambua kitaalam, huu ndo ukweli, sema siku hizi kupinga kila kitu imekuwa ndo style yetu. Ni mazoea tu, watu akibadilisha walichokizoea hata kama ni kwa faida yao watakuwa wagumu tu. Hawa kina Mnyika wanakurupuka tu, si unakumbuka hata ile ya nauli ya feri wao ni...
  8. FIDIVIN

    Mizinga ya nyuki naweza pata wapi

    Wakuu mliochangia nawashukuru sana, Mkuu Malila tayari ameshanipa mtu mahususi anayeshughulika na mambo haya
  9. FIDIVIN

    Mizinga ya nyuki naweza pata wapi

    Asante mkuu, nakutumia PM yenye simu yangu then tuwasiliane, ila elfu 60 naomba unipozee mkuu wangu
  10. FIDIVIN

    Mizinga ya nyuki naweza pata wapi

    Wakuu, Natafuta wapi naweza nunua miziga ya kufugia nyuki, pia naitaji na mafunzo kidogo jinsi ya kuwafuga, kwa sasa niko dar, kama unayo tuwasiliane tafadhali Thanks
  11. FIDIVIN

    Tume ya Katiba mpya, ni jambo gani ungetaka tukakusemee kwenye mikutano inayoendelea?

    Acheni mambo ya kikoloni, katiba mpya kila mtu anatakiwa ajisemee, nyie mnaenda kila mkutano kuziba nafasi za wengine, udhulieni mkutano mmoja toa maona yako basi, mnataka kumsemea nani? Hii ni kinyume na haki za wananchi na ni udhalilishaji mkubwa. Mmelewa support ya jf mnaanza kudhani nyie...
  12. FIDIVIN

    Mnyika Akalia Kuti Kavu

    Dogo anatumia porojo za JF kujengea hoja bungeni. Hii ndo utajua hawa watu ni ujanja ujanja tu hawana umakini wowote. Mi sikubaliani kabisa na umri wa urais kupunguzwa maana vijana bado wana mihemko wanaitaji kutulia na kujifunza namna ya kuendesha siasa.
  13. FIDIVIN

    TUCTA: Wafanyakazi kugoma nchi nzima kama kodi isipopunguzwa na mshahara kuongezwa

    Kila mtu anastahili malipo mazuri lakini pia kila mtu anao wajibu wa kulipa kodi. Unapotaka mshahara upande na kodi ishuke sasa unataka huo mshahara upande utoke wapi. Haki na wajibu huenda pamoja
  14. FIDIVIN

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    TZ naona kila mtu amekuwa msanii na mwanasiasa, hili tamko la madaktari wanajifanya wanagoma kutetea wagonjwa wakati kikubwa wanadai pesa. Madaktari hawa hawa ndo wamesababisha vifo au ulemavu wa kudumu kwa mamia ya waTZ kwa uzembe wao au kutojali kwao harafu leo wanaleta picha kuonyesha wako na...
  15. FIDIVIN

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Kila mtu analaumu serikali kwa kila kitu, kila mtu anataka malipo mazuri na makubwa, inapokuja wakati wa kulipa kodi kila mtu hayuko tayari kulipa kodi. Tunanyoshea mikono wengine eti ndo walipe. Tunaitaji kuongelea mambo haya bila ushabiki na mind ya vyama.
  16. FIDIVIN

    Mahakama yatoa ONYO kali kwa Madaktari

    Hizo huwa ni story tu, ingekuwa rahisi hivo si wangekuwa wameondoka wengi. Hizo ni habari tu kama unavosikia TZ kuna ukosefu mkubwa wa marubani/engineers/wataalam wa kilimo lakini wako kibao mtaani hawana kazi.
  17. FIDIVIN

    Makalio ya watu wa CCM yana Misumeno?

    Kwa nini uchakachue heading, kasema watu wa serikali na si wa CCM. Serikalini kuna watu wa vyama vyote na si ajabu hata wewe uko serikalini na ndo mnaomba fenicha kila mwaka. Ustarabu wa kuanzisha habari ni kuileta kama ilivyo watu wenyewe ndo wachambue kuliko kuanza na uongo kwenye heading...
  18. FIDIVIN

    Chekini uwiano huu na wenzetu wakenya ndipo utagundua kitu.

    Una uhakika au bora umeandika, Kenya ni nchi masikini kama sisi tu, tofauti ni ndogo ndogo za nairobi na dar. Huwa nawashangaa sana wa TZ kujipima na kenya, kama unataka maendeleo jipime na watu waliondelea kweli kweli ili kuweka malengo makubwa
Back
Top Bottom