Search results

  1. P

    Jinsi ya kupata channel za nje BURE zaid ya 200+

    Kwema mkuu, naomba uniPM
  2. P

    Jinsi ya kupata channel za nje BURE zaid ya 200+

    Kwema mkuu? Naomba unicheki PM
  3. P

    NMB job several position wameanza kutuma email

    Kama uliapply mwaka huu 2020 jana walituma email ya aptitude Test, kama nawe umetumiwa karibu tui-discuss, nipo Arusha.
  4. P

    Nmb bank officers several possition northern zone kuna mtu katumiwa e-mail?

    Vp mwaka huu 2020 uli-apply tena mzee? Jana walituma email ya aptitude Test, kama nawe umetumiwa karibu tui-discuss, nipo Arusha.
  5. P

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Jana walituma email ya aptitude Test, kama nawe umetumiwa karibu tui-discuss, nipo Arusha.
  6. P

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Jana walituma email ya aptitude Test, kama nawe umetumiwa karibu tui-discuss, nipo Arusha.
  7. P

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Jana walituma email ya aptitude Test, kama nawe umetumiwa njoo tui-discuss, nipo Arusha.
  8. P

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Mkuu jana walituma email ya aptitude test, vp uliipata na kama uliipata umeshafanya? Njoo tudiscuss Arusha
  9. P

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Mkuu upo sahihi kabisa, sema umerekebisha kosa lake bila hata kujua alipokosea.... Ukirudia kusoma sentensi yake utaona shida ipo kwenye neno "times" yaani badala ya kuandika time kaandika times[emoji15]
  10. P

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    "As times goes by"[emoji15] [emoji15] Hiyo ni kiingereza ya nchi gani aisee, hata hivyo sikulaumu pengine Mwl wako ndo alikuwa tatzo au nawe ni sawa na yule jamaa[emoji4]
  11. P

    AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

    Rakims, mwaka 2011 kuna siku nilipita mitaa ya Samora nilikuwa na dollar 700 nikiwa natafuta Bureau de change nilimuona mzee mmoja kwa mbele, aliponiona tu akaniita kwa majina yangu yote matatu pamoja na mkoa niliozaliwa.. "Ahaaa! Bwana......... ....... .......kutoka....... hujambo?" Kwa kuwa...
  12. P

    Walimu wa ICT vyuo vya afya, Msaada tafadhali

    Salamu..... Ndugu Tutors wa course za ICT kwenye college za afya, mim ni Mwalimu wa ICT niliyepangiwa kufundisha Module ya ICT kwa wanafunzi wa Diploma ya Pharmacy katika chuo cha afya hapa nchini, hapo awali nilikuwa nafundisha wanafunz wa Diploma in IT, sasa katika hii course outline ya...
  13. P

    Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Shida umeandika kishabiki na kiumbeya saana, yaani story umeiripoti kama vile ni update ya story inayo-trend toka juzi, sio kila kitu lazima uripoti, vile usivyovijua chimbuko lake uwe unaviacha kuliko kuleta habari isiyo kamili hapa.
  14. P

    Kwa wanaume: 10 dirty things ambavyo mwanamke atakufanyia ili a-boost ego yake

    Thubutuuu... Mjaze mwanangu ukimbie halafu uone.. nakurogaaaa.... Nakuhamishia hiyo mimba..
  15. P

    Kuondolewa CAS ni chanzo udahili mbovu

    Je, hii ina maana kwamba mwanafuzi atalazimika kulipia kila form ya kuombea admission? Hata kama itakuwa bure hilo zoez la ku-process litakuwa gumu kuliko kawaida, just think of the 5,000 applications submitted at a particular university, unadhani hilo zoez litakuwa jepesi? Jaribuni kutofautisha...
  16. P

    Mliofunga: Kama hamuuzii watu vitu vya kula kwanini mnafungua maduka?

    Hayo ndio mnayohubiriwa huko ibadani siku hizi? I guess mna CD za kutosha so far
  17. P

    Kijana unapoamua kuoa mwanamke mrembo, msomi au binti wa kidijitali basi kubaliana na haya...

    Utasikia wanakuambia hilo ni jukumu la mwanaume kumhudumia mkewe..... P*uuu*mba*aaaa*vu
  18. P

    Kijana unapoamua kuoa mwanamke mrembo, msomi au binti wa kidijitali basi kubaliana na haya...

    Kusoma kwa mwanamke hakumfanyi asideki wala kufanya kaz za nyumbani, acha kupotoshaa jamii, mwanamke anatakiwa a play part yake km mwanamke haijalishi anaelimu kiasi gan au kazi gani. Kama u mwanamke basi mumeo/atakayekuoa kazi anayo.
  19. P

    Msaada namna ya kuteka hisia za binti/mwanamke kimapenzi

    Enzi nasoma, walimu walikuwa wananiambia niachane na wasichana bali nikazane na shule baadaye watajileta wenyewe, kumbe walimu walikuwa wananidanganya ee? Wanafiki kweli, bora tu wangeniambia nitafute pesa maanina.
Back
Top Bottom