Walimu wa ICT vyuo vya afya, Msaada tafadhali

praatt

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
206
132
Salamu.....

Ndugu Tutors wa course za ICT kwenye college za afya, mim ni Mwalimu wa ICT niliyepangiwa kufundisha Module ya ICT kwa wanafunzi wa Diploma ya Pharmacy katika chuo cha afya hapa nchini, hapo awali nilikuwa nafundisha wanafunz wa Diploma in IT, sasa katika hii course outline ya pharmacy niliyopewa ipo so vague na kuna baadhi ya topics ambazo kwa kweli sizielewi zinataka nifundishe nini na niache kipi? na nyingine upatikanaji wake wa learning materials unakuwa mgumu.

So, mwenye experience na ana access na hizi content hapa chini please naomba anifowardie materials husika kwenye email:

prattstewart2@gmail.com

NB:Tools nilizoziwekea question mark sikuwah kuzisikia before.

Nita-appreciate saana msaada wenu.

Ahsante.

1496476924511.jpg

1496476839731.jpg

1496476669440.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom