Search results

  1. kajukeg

    man utd will clinch BPL trophy

    Just two games to go with city leading on goal difference,by believe it or not the BPL trophy will lend at the thieter of dream.see you on the 13.05.2012
  2. kajukeg

    DR. SLAA: Josephine is my Legal wife.

    Chadema Union presidential candidates Dr. Wilbroad slaa,yesterday defended his intimate relationship with one Ms Josephine Mushumbuzi,saying the woman was his legal wife. Dr. Slaa, a former Roman Cathoric priest also confessed publicly that he had an affair in the past with another woman with...
  3. kajukeg

    Mashabiki wa arsenal bwana...!! Kaaaaazi kweli kweli.

    Taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari usiku wa jana, kuwa mlinzi wa kimataifa wa Hispania na beki wa kutumainiwa wa bacelona Cales PUYOL amesema kuwa amefanya mazungumzo na kiungo wa kimataifa wa Hispania na ARSENAL CESC Fabriagas na fabrigas kuweka bayana kuwa hataondoka kwa washika bunduki...
  4. kajukeg

    Hatimaye timu ya africa yatinga fainali kombe la dunia

    Timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria jana usiku imefanikiwa kuingia katika fainali za FIFA za kombe la dunia baada ya kuifunga timu ya taifa ya Colombia bao moja kwa bila. Nigeria sasa watacheza fainali tarehe moja mwezi August siku ya J2 na Timu ya taifa ya Ujerumani. Naamini hizi ni Habari...
  5. kajukeg

    Plane crash in Pakistan Kills all 152 people

    A passanger jet crashed into the hills sorounding pakista's capital amid poor wealther,killing all 152 people on board and blazing a path of devastation strewn with body parts and twisted metal wreakage.
  6. kajukeg

    Jamani uswahilini kuna mambo......! Kweli kikulacho ki nguoni mwako

    Naishi na mzee mmoja ambaye miezi kadhaa iliyopita alifiwa na binti yake mdogo mwenye umri yapata miaka mitano,kifo cha mtoto huyu kiligubiKwa na utata mwingi kwani vipimo vya hospitali vilionyesha mtoto amekufa baada ya kula chakula chenye sumu,haikujulikana mapema chakula cha sumu ile mtoto...
  7. kajukeg

    Elections 2010 mgombea urais NCCR Mageuzi

    Jamani any updates kuhusu mgombea urais kwa ticket ya NCCR Mageuzi, ameshatangazwa? mana nilisikia wanamtangaza leo..
  8. kajukeg

    Kwa wapenzi wa tamthiliya

    kwa wapenzi wa tamthiliya, naombeni mnijuze jamani tamthiliya ya impostara inayorushwa na Star Tv iliendelea vp jumapili? mana sikuangalia siku hiyo. vp sara(vanesa mpya) amemtambua ndugu yake lora? mana episode ya jmosi sara alitka lora amgeukie ili aione sura yake, did she manage to...
  9. kajukeg

    Hivi yanga na simba mwenendo huu mpaka lini..?

    Ni miaka kadhaa sasa imepita migogoro ya usajili ktk vilabu vya simba na yanga imekuwa ni hadithi zisizokuwa na mwisho. nakumbuka miaka ya nyuma kidogo usajili wa victor costa ulivyosumbua akili za watu baada ya costa kusaini form mbili za usajili,za yanga na za simba.kutoka hapo tukasikia ya...
  10. kajukeg

    Siku ya mashujaa tanzania

    Wapendwa wana jamvi jana ilikuwa ni siku ya mashujaa wa tanzania,kila mtanzania mwenye damu ya kitanzania alikuwa na fursa ya kukumbuka watu muhimu waliolipigania taifa letu kiasi cha hata kupoteza maisha yao. nilikuwa nasikiliza hotuba ya mkuu wa inchi wa wakati ule hayati baba wa taifa mwl...
Back
Top Bottom