Search results

  1. M

    Msaada juu ya neno "takriban"

    Mpo safi vijana wote hapo juu.
  2. M

    Mzungu ni nani?

    mzungu asili yake ni mungu KWANI UPEO WAO NI MKUBWA MUNGU=MZUNGU herufi Z ndio iliongezwa
  3. M

    Basi nitajinyonga kesho

    Jamani uchungu wa mke aujuae mume.
  4. M

    Hawa wasan wote wapo kweli.

    Yupi una mkubali hapa NTOMBI, PAMELA NKUTHA, AWILO(DRC), MAFULA, YVON CHAKA
  5. M

    usichokijua,,,,,,,,,

    Asipo jiangalia hata huko alikoenda atashindwa kwan tabia ni kama skin huwez kuibadili
  6. M

    Njooni tuzugumze

    Kaka badilisha fakati nenda kilimo lakini nikuulize ualimu ulichagua mwenyewe au ndugu zako walikushauri ukasome?
  7. M

    Tofauti yake ni nini?

    Maneno haya shika,kamata na chukua watalamu wa lugha uwanja ni wenu.
  8. M

    Elimu ya viungo (spices)

    Wana JF, Kuna watu hawajui tofauti ya viungo na mboga ya majain mfano viungo ni hivi galic,jinger sweetpaper onion carrots.
  9. M

    Kisawe/visawe

    Naomba kujua maana ya neno "kisawe" kwani tumezoea sana.
  10. M

    Kondoo dume anaitwaje

    Anaitwa RAM kaka
  11. M

    Hivi ni kweli nguo nyekundu ni hatari kama kuna radi?

    Wadau naombeni msaada hua nasikia nguo nyekundu ni hatari kama mvua ya radi inanyesha .Mwenye uwelewa naomba msaada.
  12. M

    Bahati nasibu katika mitandao ya simu ipo kwa ajili ya maskini tu?

    Hakuna lolote hiyo ni kamali tu mfano mzuri ni mtandao wa vodacom wanasema kila siku nicheki sh300 inatozwa wizi mtupu.
  13. M

    Tahadhari kwa wana jf

    Leo ni aprill's fool kuwen makin na taarifa mtakazo zipata
  14. M

    viongo vya albino vyakamatwa

    Watu 2 wakamatwa na viungo vya albino huko kagera wilayani bukoba asema kamanda wa polisi mkoan humo Waliahidiwa 2000000
  15. M

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Gwajima aliyetoa kauli chafu kwa askofu mwenzake atoka adai viongoz wa dini wawe wakweli.
  16. M

    Tofauti ya wage na salary

    Wadau naomba tofauti ya maneno hayo
  17. M

    Nafasi za kujiunga na vyuo vya kilimo 2015/2016

    Wakuu naomba kuuliza kama vyuo vya kilimo ngazi ya diploma wametangaza nafasi za masomo.Ahsanten
  18. M

    English proverbs

    (1) When in Rome,do as the Romans (2) A friend in need, is a friend indeed (3) Too many cooks spoil the broth. Endeleza...
Back
Top Bottom