Search results

  1. suregirl

    mafikizolo & loveissweet

    Habarini wapendwa hope muwazima wote, Baada ya holiday ndefu kidogo now tumerud mzigoni tena. napenda kuwashukru member wezangu wawili Mafikizolo na loveissweet kwa kuja kunitembelea home tanga nimefarijika sana sana sikutegemea. Mafikizolo nashukuru sana sana Mungu akuzidishie kila lenye...
  2. suregirl

    Mamaafacebook apata ajali

    Habari wapendwa, Member mwenzetu mamaafacebook amepata ajali yuko hospital amelazwa ameumia mkono na mguu wa kulia umevunjika tumuombee.
  3. suregirl

    Ya moyoni

    Hi wadau wote wa chit chat.....niwatakie tu her ya xmas na mwaka mpya.... Tukiwa tunakimbilia mwishon mwa mwaka Rabbi akijalia...ni mengi tumechangia mengi tumefanya Kwa had hapa tulipofika...kama kuna niliemkosea ninaomba radhi anisamehe kwa kile nilichomkosea....na ni vema ukawa waz nkajua...
  4. suregirl

    I miss you asprin

    I cant sleep because I have been thinking of you much.....I cant eat because all I do is think of you.... I cant concentrate because you are constantly on my mind..... I cant work because all I do is think of you.... I miss you so much it hurts..you have been running through my head all night...
  5. suregirl

    Happy birthday to me ~ mamaafacebook

    leo nasherekea siku yangu adhimu.. The birth of me!! I am grateful to god for the gift of life Nawashukur wazaz wangu kwa kunilea maisha ya aman na upendo had hapa nilipofikia. Happy birthday to me... I wish my self many more years of joy, love, laughter, health and prosperity..
  6. suregirl

    Kitu Azam

    Priii! Priii! Priii! Nimeamua kupiga filimbi na kutoa kadi nyekundu maana Azam kazidi! TV Azam, maji Azam, juice Azam, unga Azam, malta Azam, nazi Azam, tomato paste Azam, keki Azam, biskuti Azam, ice cream Azam, maandazi Azam, chapati Azam, timu ya mpira ya Azam... Heee, sasa tusubiri mimba...
  7. suregirl

    Naomba msaada kuhusu Samsung galaxy pocket

    Habari zenu, Natumia Samsung galaxy pocket imekua ikinisumbua sana. 1. ukiandka msg keyboard inakua kama haina sense yoyote, hii had nizme sim niwashe ndio inakaa sawa. 2. ukifungua app ina load wee kama dakika nzima ndipo inafungua, hata JF app hua inafanya hivyo na hadi niende...
  8. suregirl

    Naomba msaada wa jinsi ya kubadili avater ya JamiiForums

    habari za mchana wana jamii forum naombeni msaada,, ninataka kubadili picha huku nafanyaje hapa ndonilipokwama nimejaribu sana nimeshindwa kwa mwenye kujua naomba anisaidie
  9. suregirl

    Cheka kidogo

    Kamau got 0% marks in an exam and was surprised because all his answers were seemingly correct! Do you feel that he was wrongly penalized? The questions and answers below: . Q.1- In which battle did Dedan Kimathi Die ?.. Ans.- In his Last Battle.. . Q.2- Where was the Declaration of Independence...
  10. suregirl

    Naombeni ushauri, mahusiano yangu yanatawaliwa na ugomvi na matusi

    Wana JF habarini za kutwa nimejitokeza kwenu kuomba ushauri juu ya hili linalonisibu, nina mpenzi wangu anaishi South Africa kwa mwaka wa pili sasa. Anataraji kurudi Disemba katika kipindi chetu cha mahusiano nimejitahid kua mwaminifu sijawahi msaliti japo mimi na mwanamke vishawishi vipo ila...
  11. suregirl

    Fake like

    Samahanin.wadau. Naomba mwenye kujua anipe link ya sofrware nitumie ili nipate likes nyingi fb
  12. suregirl

    afya

    hi wanajf,,,, jamani naombeni msaada wenu. ninatokwa na vitu kama shatashata ukeni lakini havinuki wala nini nikikaribia period vinakua vizito i mean maji maji mazito please help
  13. suregirl

    natafuta kazi ya ukatibu muhtasi

    nimemaliza chuo cha mafunzo ch amtakatifu joseph cha mkoani tanga,:A S 114::A S 114:
  14. suregirl

    new qualified secretarial job

    :flypig:natafuta kazi kwa new qualified staff secretarial jobs.
  15. suregirl

    Flagyl

    Nahitaji kuja nini madhara ya dawa aina ya flagil ? :baby:
Back
Top Bottom