Ya moyoni

Ya moyoni

suregirl

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
6,056
Reaction score
198
Hi wadau wote wa chit chat.....niwatakie tu her ya xmas na mwaka mpya....


Tukiwa tunakimbilia mwishon mwa mwaka Rabbi akijalia...ni mengi tumechangia mengi tumefanya

Kwa had hapa tulipofika...kama kuna niliemkosea ninaomba radhi anisamehe kwa kile nilichomkosea....na ni vema ukawa waz nkajua kosa langu nijirekebishe mwaka mpya niuanze kwa kila jambo jipya ....kama lipo linakufurahisha usisite kusema pia


Kubwa hasa jaman kuna id ya ME mim inanipa kihoro ...inaufanya mtima wangu uende mbio .... Nampenda tu kumuona akichangia hata achangie pumba moyo wangu umesuuzika inaanziwa na K......inaisha na A......yaani unanibamba jua hivo yaani japo tunatumia id fake na avatar ambazo n fake ila kwangu haijalish upo real.....napenda ukifanyacho humu ww kaka

Ni hayo tu mlale unono
 
Na wewe pia, ila nakuomba uweke wazi hiyo ID inayokupeleka roho mbio maana usiidhurumu nafsi yako.
 
Umesema inaanzia na U inaishia na I au??
 
Na wewe pia, ila nakuomba uweke wazi hiyo ID inayokupeleka roho mbio maana usiidhurumu nafsi yako.

Hahhha halaf ww nna kes na ww na najua wajua umenifanya nn sasa uje urekebishe mapema kama unataka safar iendelee au kama vip unambie njue
 
Jamani mamaafacebook me hapa umbea tu umenikaba kooooh. Hiyo Id ni ya yule mr english ama?
 
Last edited by a moderator:
Mtu anapendwa kwa Id tuu akadaaah wanawake nyinyi mmh kwann usiseme inaanza na S inaishia na y hebu nipite mm
 
Back
Top Bottom