suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Habari zenu,
Natumia Samsung galaxy pocket imekua ikinisumbua sana.
1. ukiandka msg keyboard inakua kama haina sense yoyote, hii had nizme sim niwashe ndio inakaa sawa.
2. ukifungua app ina load wee kama dakika nzima ndipo inafungua, hata JF app hua inafanya hivyo na hadi niende setting-app-manage app-app husika halafu naforce to stop na ku clear cache.
3. Ukitaka kutuma picha watsapp inachukua karne.
4. Huwa inajizima hata chaji iwe full
Tatizo hili linasababishwa na nini?