uko sahihi kabisa ndugu yangunadhani ni mabadiliko ya homoni yanayosababisha hiyo hali sababu mji wa mimba unakuwa haujapata kazi yake unaanza kujimega ili yai ambalo halijarutubishwa litoke.
Ila tusubiri wataalamu watujuze zaidi bt i think its normal