Search results

  1. A

    Je, huu ushauri ni sahihi?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. A

    Jamani kubet kunanitesa sana

    Mimi nilianza kubet tangu mwezi wa 8 mwaka jana, kwa kuanza tu nilimpiga mhindi wa Sportpesa t Sh. 610000/= ikafuata 430000/= ikafuata 600000/= nikamkosa kumpiga ml. 43, r. Madrid ndo aliniaribia nilikuwa na mikeka 9 yote ilikuwa tayari ikimsubiria Madrid dhidi ya betis kama sikosei na katika...
  3. A

    Picha: Kila la heri Simba SC na Yanga FC wawakilishi wetu wakimataifa

    Kwani mechi zitachezwa saa ngapi?
  4. A

    Kipi ambacho hakina janja janja nyingi?

    Bora kubet kuliko biko au tatu mzuka.
  5. A

    China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Juzi tu mwezi June ndo kazindua ndege ya abiria yenye uwezo wa kubeba watu 180, sasa kama hata ndege ya abiria ya kwake mwenyewe hakuwa nayo, hizo unazosema za kijeshi hatari kazitengeneza lini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Kama swala la kuwa na population kubwa ndo kuwa tajiri basi China angeongoza uchumi wa dunia na siyo usa. Angeongoza China akifuatiwa na india, lakini kwa kuwa hicho siyo kigezo peke yake cha kuwa na nguvu za kiuchumi basi ndo maana unakuta nchi zenye population ndogo kama UK ni tajiri sana...
  7. A

    China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Hata Congo wanayo ya kutosha. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Kwa hiyo CNN wakae muda wote wanakusubiria wewe mpaka uone hiyo taarifa ndo waendelee na mambo mengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    Ulimwengu wa Roho nini? Uko wapi?

    Nafsi na roho si kitu kimoja, kuna vitu vitatu hapa mwili, nafsi na roho 1. Mwili ni huu tulio nao, damu na nyama na maandiko matakatifu yanasema: mwili na damu havitaurithi ufalme wa Mungu. Inamaanisha wanaoishi kimwili pamoja na kutaka kuuridhisha mwili kwa matamanio yake yote. 2. Nafsi ni...
  10. A

    KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mahakama ya juu nchini Kenya imeamuru time ya uchaguzi IEBC kuandaa uchaguzi mwingine ndani ya siku 60. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    TTCL mnachemka tena, ila offer zenu nzuri

    Ni kweli kabisa, Mimi nikiwa maeneo ya Ilala mtandao unasimama wima kabisa ila nikija maeneo ya mwananyamala ujiji mtandao unakata kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Halotel mnatuibia wateja wenu

    Hamieni Ttcl jamani ndo mambo yote. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Inawezekana kupata mwenza ukiwa na uwezo wa kufanya 'goli' moja?

    Nionavyo Mimi ni kwamba mpaka sasa hujiamini tena, ila ninachokushauri, hilo tatizo lina ufumbuzi wake tena ndani ya mwezi mmoja tu utakuwa safi tu, nitafute nikupeleke kwa Dr. Wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Antonio Conte Ligi ya Uingereza ni Tofauti na Ile ya Italia Baba.

    Kweli kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Inakuwaje mtu anagoma kufa mpaka amuone mtu anayemhitaji kumuona?

    Kumbuka hata yule nabii Mzee wa kwenye biblia aliyeambiwa na Roho mt. Kwamba hatakufa mpaka atakapomwona masihi ( yesu) na baada ya yesu kuzaliwa yule Mzee alipomwona, alisema hivi " sasa Bwana waweza kumchukuwa mtumishi wako apumzike kwa amani. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. A

    Tajiri namba Moja Duniani, Bill Gates azuru Tanga leo

    Mbona wenyeji wake hawajachomekea. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. A

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  18. A

    Mh. Magufuli tunaomba utusaidie sisi wakaazi wa Kinondo Mashariki Wilaya ya Kinondoni

    Mh. Rais wetu John Magufuli. Sisi ni wananchi wa Kinondo mashariki kata ya Mabepande Wilaya ya Kinondoni. Tuna mashaka sana na zoezi LA uhakiki wa ardhi linaloendelea hapa Kinondo Mashariki, kwa sababu zifuatazo: 1. Mkuu wa wilaya ya kinondoni amewajumuisha na wale wanaojiita wanamashamba...
  19. A

    Mafisadi wa ardhi wilaya ya Kinondoni

    Wana JF habari zenu, Mnamo mwaka 2002 aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Yusufu Makamba alitangaza baada ya miezi sita kuwanyanganya ardhi wale waliokuwa wakimiliki mashambapori hayo kwenye kitongoji cha Kinondo Mashariki kata ya Mabwepande wilaya ya Kinondoni iwapo hawatayaendeleza...
Back
Top Bottom