Search results

  1. D

    MSAADA TAFADHALI KUHUSU COMPUTER YANGU

    habari zenu wakuu, kwanza natanguliza shukurani kwa msaada ntakaopewa, computer yangu aina ya desktop (HP), pia ina RAM 1GB, WINDOW7, harddisk GB40, nikiistall games zinagoma kuplay sijui tatizo ni nini, naomba msaada kwa hilo.
  2. D

    WINDOW APP

    NI APP GANI NZURI YA KU UNLOCK SIMU?
  3. D

    Simu inauzwa

    Samsung galaxy s3 , Internal storage 16gb, Camera 8mp & front 2mp Bei 170000/= Whatsapp nmbr 0756464887
  4. D

    Ku-update android software (msaada)

    Habar wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayejua jambo ili la kuupdate software ya samsung galaxy s3, model SHV-E210S, android version yake kwa sasa ni 4.3. Nimejalibu mala ya kwanza imenletea ujumbe wa 'fail to update use skt usim card ', Pia Nmejaribu tena baada ya kutoa line na kutumia wifi...
  5. D

    Samsung yangu ni simu hii ni halisi au ni feki?

    Habar wakuu, Mimi sina uzoefu kabisa na simu aina ya samsung na nmenunua galaxy s3 used, wasiwasi wangu ni kwamba nilipo watumia TCRA imei ya hii simu nimeambiwa kuwa simu yang ni 'samsung korea-samsung SHV-E210S'. Lakini simu inapowaka inaandikwa 'samsung galaxy s3' Imei yake ni 352905051381931...
  6. D

    Naomba kusaidiwa tafadhali

    Habari wana jamiiforum naomba nisaidiwe kwa yeyote mwenye ujuzi na jambo hili, simu yangu ni 'SONY Xperia v3+' ina 4gb internal storage' tatizo ni kwamba nikidownload apps inadownloadika lakin wakati wa kuinstall inagoma inaniandikia 'insufficient storage is available' natanguliza shukran
  7. D

    Msaada wenu kuhusu VETA

    Habari wana JF. Nina mdogo wangu kafanya interview ya kujiunga na VETA iringa na kwa sasa niko nae mbeya naomba msaada kwa wanaojua jinsi ya kuyapata matokeo kwenye internet au kwa njia nyingine nitashukuru kwa ushikiano wenu
  8. D

    Hata sijui nifanye nini, nahitaji ushauri wenu

    Hi wanaJF Naomba ushauri wenu Girlfriend wangu ambae mwanzo mahusiano yalikuwa kama utani tu lakn kadr sku zlvyo zd kwenda tuljkuta tukpenda kiukwel na tatzo ni kwamba girlfriend wangu kanizidi umri wa miaka miwili na anataka tuoane nashindwa jinsi ya kukataa. Sijui nifanyeje
  9. D

    kumbe ndio hivi?

    habari zenu wanaJF. mm ni mgen humu nna kama sku kadhaa na nnaomba samahan kwan sikujua kama kuna jitambulisha. kwa kwel nmefuraiya sana jnsi elmu ya kmaisha inavyo tolewa hum, hakka kwa hz sku chache nmejfunza meng ambayo skutalajia kama nnge yakuta hum
Back
Top Bottom