Search results

  1. emavalery

    Dispensary inauzwa sekei Arusha

    Hahaha, hiyo pesa nimestuka pia..angetaka kwa uchache mali zitakazofikisha hiyo kiasi. Wanunuzi wangejitokeza.
  2. emavalery

    Rayvany atumia milioni 5.8 kwenye pombe

    Hahaah unachopata sasa, kidunchuuuu Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  3. emavalery

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Hao watoto wanne, mkubwa ana miaka mingapi na una 32 tu?? Kama chai hivi Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  4. emavalery

    Nimepigwa faini sh 50,000/- hapa barrier ya usagara kwa kukojoa hovyo. Hii ni sawa au sio sawa?

    Ulifanyaje mkuu Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  5. emavalery

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Nimeona hivyo pia Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  6. emavalery

    Ni aibu Graduates kukosa Laptop

    Nilivyomaliza tu Chuo, nilimpa dogo laptop na sijawahi miliki tena..ni hizo simu tu za mtoa mada 250k+, yeye anahisi watu wote wanaitaji milaptop huku mtaani.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  7. emavalery

    Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

    Huku kanda ya ziwa tunatembea nazo sana, nashngaa Dar nilikua sizioni kabisa..hahaha Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  8. emavalery

    Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

    Haya ww ya kwako mazima, hongera.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. emavalery

    Marekani kuiwekea Vikwazo mirambo Kampuni ya Rostam Aziz?

    Ukisema hivi, kama ni kweli nazidi kuamini kuna level za biashara inapaswa a very tough connections, vinginevyo vikwazo vinakua vingi sanaaa tutaishia huku chini na biashara za kula, kunywa na kuhudumia na kusomesha watoto.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  10. emavalery

    Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

    Hamna cha Supu wala nini, naonaga tu za moto ladha ya kiwaki..na bia za baridi, sio mpenzi...ila ziko bomba sanaa Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  11. emavalery

    Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

    Hahaha eti upungufu wa ny*ge, napendaga wakina dada au mama ambao hawaishi kwa maigizo, wanakunywa wanachokipenda regardless sijui nini, hao wanywa savanaa wengi hawajinunui wao, ila ww hata ukiwa na buku tano unagonga unapata stimu, taratibu home. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  12. emavalery

    Nilipokuwa mdogo nilijua hivi

    Hahahaha, ila kumbe mambo ni kinyumeee na tuliitetea Elimu, kumbe tungejua ukweli tungeacha madarasa bila watu.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  13. emavalery

    Nilipokuwa mdogo nilijua hivi

    Daaaah hahaha Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  14. emavalery

    Non alcohol wine naipata wapi?

    Ni kama tu analeta usumbufu, kama ni monde apigeee au Juice tu, sio vuguvugu...anataka ladha za wine alafu hataka kulewa... Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  15. emavalery

    Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

    Mkuu, watu wa hivi wanaonaga kwamba wao sijui ndio wema sana...ishu ni ile ile, wanywa pombe hatunaga shida nao, ila wao kila leo hawaishi kukera. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  16. emavalery

    Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

    Beer na pombe, tofauti ni ipi mkuu,maana pia huwa nasikiaga tanzania hakuna beer zote ni lager na light tu..naomba unipe elimu kidg Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  17. emavalery

    Ushawahi kutokewa na marehemu aliyekufa au kukujia ndotoni?

    Nilipita kimya kimya, nikakimbilia mada yake, nayo hamna kitu Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  18. emavalery

    Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    Nafuu, hana akiliii kabisa yule dada. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  19. emavalery

    Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Hawa viumbe sio watu, mm nimegeukia kupenda sana ndoa za waarabu kuoana ndugu wa damu ila wa mbali kidg, mnakua mnaupendo na undugu wa damu..hata mkigombana mnajiona wajinga mmekua mnajuana. Ila hawa magurumembe ya mitaani, sioi hata kwa panga shingoni. Sent from my SM-A037F using JamiiForums...
  20. emavalery

    Machache Nayoyaona kutoka mji wa Moshi

    Kabisa, mbona sisi tupo mikoa ya wengine ila hatuleti umbea kama wao wakifikaga Moshi na Arusha... Hiyo mikoa miwili, watu wake wanajiamini sana popote walipo, ndio inawapaga sumu wakifika Moshi wanaanza kelele Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom