Search results

  1. S

    Faida na hasara za mfumo wa cambridge tanzania

    Wadau naombeni msaada wa kujua faida na hasara za mfumo wa CAMBRIDGE kwa mwanafunzi anayesomea Tanzania. Nahitaji kufahamu kwani nina mdogo wangu yupo shule moja, walimu wameshinikiza asome mfumo wa Cambridge, Je future ya mwanafunzi huyu wa kitanzania, anayesomea Tanzania kwa mfumo wa...
  2. S

    Kwa anayeifahamu mfumo wa elimu wa cambridge (tanzania)

    Wadau naombeni msaada wa ufafanuzi kwa anayeelewa vizuri mfumo wa Elimu wa Cambridge unaotolewa hapa Tanzania. Mimi nina mdogo wangu tulimpeleka kwenye shule moja (private) kwa ajili ya masomo ya sekondari mwaka jana. Wakati wanafunga mwaka, wakaambiwa wakifika kidato cha pili watachagua...
  3. S

    waliosoma sengerema sec tukutane hapa

    umenikumbusha mbali sana mdau, Sengerema enzi hizo! tulikuwa na Head Master alikuwa akijiita Master of the Masters, hadi jina lake nishamsahau!
  4. S

    "The Kilogram Has Gained Weight"

    The kilogram may need to go on a diet. The international standard, a cylinder-shaped hunk of metal that defines the fundamental unit of mass, has gained tens of micrograms in weight from surface contamination, according to a new study. As a result, each country that has one of these...
  5. S

    Mshindi wa BONGO STAR SEARCH(BSS) Kutoka zanzibar.

    the winner is walter Chilambo.
  6. S

    EBSS 2012 winner ni Walter Chilambo

    Hatimaye walter chilambo aibuka mshindi Epiq Bongo Star search 2012, i can't believe this.
  7. S

    matokeo ya BSS 2012..tetesi za mwanaJF kuwa kweli

    Hatimaye mshindi ni Walter, Muungano udumu daima.....
  8. S

    matokeo ya BSS 2012..tetesi za mwanaJF kuwa kweli

    ki ukweli salma ni mkali, ingawa walter pia yupo juu ila tudumishe muungano kwa njia hiyo pia sio mbaya.
  9. S

    Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    Acha kutuongopea wingu! hapo kwenye red panahusika sana, mwenzio asa ivi yupo nyuma ya nondo,what abt u!! where are u now??? kama kweli upo nyuma yake always mfuate korokoroni vijana wa kova wakupe hifadhi kwa muda ndo tutaamini hiyo red statement..
  10. S

    simba vs kagera live updates

    Full respect kwako mkuu, nimecheki live bila chenga mabao yote ya kagera...kitu 2-2,kandanda linaendelea
  11. S

    Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

    kama kanisa sio jengo ndio lichomwe!!??au unamaanisha nini ndugu hebu tudadavulie..
  12. S

    Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

    jamani tunapopewa taarifa tusiwe wepesi kubisha, taarifa hizo ni za kweli..mabaki ya kanisa hilo ni kama inavyooneka hapo chini,mwenye macho haambiwi tazama. Habari yenyewe ipo chini, ukiendelea kubisha umeamua. Muumini akishuhudia Kanisa la Pentekoste (MMPT) lililopo Buronge la Manispaa ya...
  13. S

    Maalim Seif ni Mfadhilri wa TV Imani amesha wahihiza Waislam kuichangia kwa nguvu Zote!!!

    tatizo sio muislam kuchangia dini yake, tatizo ni hicho chombo alichochangia kinahamasisha uchochezi na kinajenga chuki baina ya waislamu na wakristo jambo ambalo ni hatari kwa amani na usalama wa nchi yetu..
  14. S

    Msiba mkwawa university

    Rest In Peace Babu Itandala! The Lord gave, the Lord has taken away...blessed be the name of the Lord, Amen!
  15. S

    HESLB Vs SAUT Kulikoni?

    wametoa vyuo vyote Click the Links Below to view the list (arranged by the University Code alphabetically): 1: 2012/13 Loans Allocations List 1-A 2: 2012/13 Loans Allocations List 1-B 3: 2012/13 Loans Allocations List 2-A 3: 2012/13 Loans Allocations List 2-B 4: 2012/13 Loans Allocations List...
  16. S

    HESLB Vs SAUT Kulikoni?

    Wadau nisaidieni mi sioni list ya Heslb kwa wanafunzi wa SAUT, nilitegemea kuikuta list ya SAUT hapa kwenye list ya HESLB 4: 2012/13 Loans Allocations List 3-A (RU - SJ) badala yake kila nikifungua inakuja list sawa na hii ya hapa ya HESLB 3: 2012/13 Loans Allocations List 2-A . Ambaye ameona...
  17. S

    Maafande wanapogeuka kuwa waandishi!

    Wadau angalieni hii picha naona maafande wamegeuka kuwa waandishi wa habari wakati wa maandamano ya waandishi wa habari, nini tafsiri yake?
  18. S

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu. Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi...
  19. S

    Selection saut zimetoka

    mbona mi kwangu hiyo document haifunguki?nifanyeje?
  20. S

    National Health Insurance Fund (NHIF) - Kero za wananchi

    Nadiriki kusema NHIF wanaadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake ni wizi mtupu, sioni manufaa ya mfuko huo hata kidogo. Tangu nijiunge katika mfuko huo (kwa kulazimishwa na muajiri kwamba ni lazima kwa mujibu wa sheria) sioni faida yake hata kidogo zaidi ya maumivu kutokana na hela ninayokatwa...
Back
Top Bottom