Search results

  1. Rubengo J Rubengo

    Changamoto katika ajira Tanzania

    Habarini ndg wapendwa, Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara? Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo...
  2. Rubengo J Rubengo

    Nafasi za kazi na mshahara wake

    Habarini ndg walendwa.. Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara???. Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo...
  3. Rubengo J Rubengo

    Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

    Shukuru Mungu kwan kuna watu ata hawana uhakika wa mia5 kwa siku...alafu fanyen kaz sio kulaum tu wakat hii nchi ni yakuchapa kaz sio kudeka deka....
  4. Rubengo J Rubengo

    Msaada kuhusu foindation coz

    Wadau naomba kujua, je inawaezekana kwa mtu aliesoma foindation course kujiunga na chuo chochote?.
  5. Rubengo J Rubengo

    Mazingaombwe matokeo Darasa la Saba

    Usdanganye Watu C Ni Ile Ile Ata Kama Upate Umekarbia B Itahesabiw Sawa Na Ambae Imekarbia D...Thats Why Hawa2mii Maks Wana2mia Grades.
  6. Rubengo J Rubengo

    Kwa wanaohitaji shule ya private

    ada kikas gan kwa day HGL
  7. Rubengo J Rubengo

    Shule gani ya binafsi ni bei nafuu mkoani Mwanza na Kagera?

    Samahani watanzania wenzangu, naomba ushrikiano na msaada wenu, Naomba kwa yoyte anaezifaham shule za private za kidato cha 5&6 zenye ada nafuu zilizopo mkoani Mwanza au Kagera anisaidie kuzifahamu ata ikiwezekana mawasiliano nazo. Nitashukuru sana kama tapata msaada wako. Ahsante sana.
  8. Rubengo J Rubengo

    Je Unazijua Kwa Undani Shule Za Private 5&6

    Msaada Kwa Yoyte Yule Anaezijua Kwa Undani Shule Za Private Zenye Ada Chin Ya Mil.1 Zilzopo Mwanza Ama Kagera Naomba Anitajie Na Kama Inawezkana Ata Mawasiliano Yao Niyapate.. Tashkuru Xana Kma Thread Hii Itajbiwa Kwa Ukarimu. Ahsanteni
  9. Rubengo J Rubengo

    Mungu ni mwoga?

    Akili Za Usiku
  10. Rubengo J Rubengo

    Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    Mkuu Mbona Umehadithia Movie Tena Ninayo Hapa Home,inaitw Area51 Unaamini Vp Picha Za Kusadikika Je Ww Ushafka Area51 Na Kama Hujafka Umepajuaje??? HIYO NI MOVIE AMBAO HAMJAIONA MKAITAFTE INAITWA AREA-51
  11. Rubengo J Rubengo

    Jerry Muro, kwa Kiingereza chako hiki, hakika umejidhalilisha na kuwatia aibu mno walimu wako wote

    Mbona Kiswahili Hamjitap Kua Mnakjua... MTANZANIA JIVUNIE KISWAZ SIO UNG'ENG'E Hongera Jerry Mulo Kwa Kuikosea Lugha Ya Kigen Ila Ukapatia Kiswahli...Kulko Anae Ksea Kswaz Anaptia Kingreza... KISWAHILI HOYEEEEEEE.......
  12. Rubengo J Rubengo

    Mafua makali na kusikia baridi

    Yakija Uwe Unaya"Penga" We Hupengi???
  13. Rubengo J Rubengo

    [b]shule Zenye Gharama Nafuu[/b]

    Kama Unazfaham Shule Binafsi Za A-level Zenye Ada Nafuu Nitajie Iwe Ya Bord Kwa Wavulana Au Day,Husasa Ni Zile Zilzopo Mkoan Mwanza...Naomben Msada Wenu Nb:itakua Vyema Kama Utanitajia Na Ada Yao Ni Kias Gn? Ahsanten Wakuu,naomben Ushrkiano Wenu.
  14. Rubengo J Rubengo

    Shule za private a-level zenye ada ndogo

    Wakuu Naombeni Kwa Wale Wanaozijua Shule Nzuri Za PRIVATE...A-level Zenye Kiwango Cha Chin Cha Ada Na COMBINATIONS Ztolewazo Na Shule Husika.Zilizopo Mkoa Wa MWANZA NA MARA Mnitajie. NB:Itakua Vyema Kama Utaweka Na Kiwango Cha Fedha Taslim Kwa Mwaka Au Muhula...
  15. Rubengo J Rubengo

    Kweli Mungu ni muweza wa yote?

    Nakwombea Kwa Mungu Akusamehe Kwamaana Hujui Ulitendalo
  16. Rubengo J Rubengo

    Wataalamu, hiki ni nini?

    Sali Sana Mungu Atakusaidia,kua Na Imani Ya Kwl
Back
Top Bottom