Search results

  1. Mayu

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Cc Mshana Jr Mathanzua Da vincci Njoo huku mtoe ushauri kwenye idara yenu
  2. Mayu

    Kama wenye PhD ya Aquaculture hawana hata bwawa la samaki, mimi nitaweza vipi?

    Waafrika kitu pekee tunachoweza kufanya kwa ubora kabisa basi ni KULALAMIKA KUKOSOA KUPINGA Yaani sisi kazi yetu ni moja tu...... kuangalia NEGATIVITY tu kwenye kila kitu
  3. Mayu

    Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Ni vile tu watu wavivu wa kusoma Historia au wanajisahaulisha tu Dunia tunayoishi sasa ni dunia bora na salama kabisa ukilinganisha na dunia za enzi hizo
  4. Mayu

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Mkuu issue ya majina kutofautiana sio tatizo kwa NHIF pekee, taasisi zote ukienda majina yametofautiana ni LAZIMA uwe na supporting document za kisheria kuonyesha kwama Amina Aly ndio Amina Mkude Kama amebadilisha jina kwasababu ya Mume basi cheti cha ndoa kinatosha Kama ni sababu zingine...
  5. Mayu

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Strategy wapo vizuri kwa watu wa miji mikubwa sio mikoani, hawachagui wanalipia gharama zozote zile ila wanavifurushi vyenye ukomo Mfano kifurushi cha Muhusika anawekewa 5M kwa mwaka na tegemezi wanawekewa 1M kwa mwaka Ukiwa unakwenda hospitali kubwa za private kama Agha Khan bei zao...
  6. Mayu

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Kwahiyo UNAUMIA sana marehemu kupewa sifa kede kede? Ukaona hapa haiwezekani ngoja na wewe umwage mabaya yake kede kede?........ Mkuu ukizeeka utakuja kuwa MCHAWI WEWE
  7. Mayu

    Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Kwa mazao ya muda mfupi kama mboga mboga mbolea ya kuku mbuzi sungura inafaa zaidi maana inakupamatokeo ya haraka lakini haidumu shambani Mbolea ya Ngombe ni ya muda mrefu na hutumika kwa muda mrefu, inafaa zaidi kwa mahindi mtama nk Sina uzoefu na samadi ya kitimoto
  8. Mayu

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Mkuu waandishi tunajua zaidi takwimu zao za vifo kwasababu ya nature ya kazi yao Anyone can die young
  9. Mayu

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Ukisoma comments za wananzengo hapa ndio utajua kuna watu wengi sana wanaishi maisha ya kuigiza ili kuwaridhisha watu wengine badala ya kuishi na kifurahia maisha yao The likes of Kibonde Gardina walikua wanaishi maisha yao waliokuwa wanayafurahi bila kujali wengine mnawachukuliaje Kikubwa ni...
  10. Mayu

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Mkuu mimi sijui chanzo cha dunia Scriptures za kidini zimejaa hekaya tupu na zinapingana kwasababu zimeandikwa na watu tu kama wewe Sayansi haijui, ilichofanya ni kutengeneza THEORIES tu Scriptures na sayansi wanatofautiana sana Mimi ni muumini mzuri wa sayansi lakini Napata tabu sana kuanza...
  11. Mayu

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    The more we know things the more we complicate things
  12. Mayu

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Ok ngoja nikubaliane na tafsiri yako kwamba Energy sio Matter Turudi kwenye hoja sasa mwanzo(time), anga(space), ardhi(matter) na The Creator of the universe(Supreme energy). Nipe darasa hapo kuhusu uumbaji wa dunia
  13. Mayu

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Mkuu Masahihisho, TIME+SPACE+MATTER ENERGY ni MATTER Nijuavyo mimi nje ya hii nadharia maana yake ni kuwa NOTHING EXISTS Nikama vile useme MAJI ni mchanganyiko wakitu fulani na kitu fulani..... which means bila hivyo vitu maji HAKUNA
  14. Mayu

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Mkuu waajiriwa wengi sana wakipata hela nyingi za ziada wana opt kununua hisa au bond au fixed deposit kwasababu zifuatazo Muda wa kusimamia biashara Watumishi hawana muda kabisa, jumatatu hadi ijumaa au jumamosi kila siku aripoti kazini saa 1 asbh na anafika nyumbani saa 2 usiku hoi Biashara...
  15. Mayu

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Mkuu nipo tayari kujifunza Nihabarishe ulimwengu ulifanyikaje KWA HAKIKA 🙏🙏
  16. Mayu

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Mkuu hizo biashara zipo nyingi sana tatizo ni moja tu..... experience Asilimia 70 ya biashara mpya zinakufa baada ya mwaka mmoja kwasababu ya ukosefu wa uzoefu ikiwemo nidhamu ya biashara Asilimia kubwa ya watakao kupa ushauri humu hawajawahi kufanya biashara yoyote zaidi ya kusikia biashara...
  17. Mayu

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Mkuu bank wapo wazi wala hawana longolongo kabisa ukifika ofisini kwao Tena uzuri wa bank za bongo zipo ambazo wanachukua faida yako kwa mwaka na wanaigawa mara 12 halafu unaanza kupokea kwa kila mwezi faida yako kwa mwaka Na bado kama hela yako ni ndefu sana kuna uwezekano mkapatana...
  18. Mayu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    HY1ZOKB Betpawa Stake what you can afford to lose 🙏
  19. Mayu

    Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

    Mkuu kwa mfano mtu binafsi tu kaunga nyumbani kwake House girl au kijana wa kazi na watoto wakiwa wana stream 4k videos youtube kwenye Tv halafu ukiunga majirani kadhaa na hotspots na wao waka stream na kudownload movies/series inakwisha kabla mwezi haujakwisha Kuna jamaa mtaani ameunga hii...
  20. Mayu

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Allah? Jehova? Yesu? Zeus? Thor? Sun? The list is endless Be specific Mungu yupi unamuamini mkuu ili tukijadili tusichanganye na Mungu wengine maana People created so many of them
Back
Top Bottom