Search results

  1. S

    Mwl.hamia Bahi nije morogoro popote au pwani.

    Husika na kichwa hicho cha habari,nina mdogo wangu ni mwl wa sekondar yupo bahi Dodoma anataka wa kubadilishana nae maeneo kama hayo msaada wadau.
  2. S

    Samahani naomba kuuliza

    Habarini sa asubuhi wapendwa!naomba kujua nasikia matokeo drs la saba yametoka nimehangaika kuingis ktk web ya necta siyaoni sasa naomba mwenye kujua link anipe nimchekia kijana wangu.
  3. S

    Ni dereva mwenye uzoefu anatafuta kazi.

    Jamani kuna huyo ndugu yangu namleta kwenu kwa sifa tajwa hapo juu na kwa kuongezea anayo leseni,anatafuta kazi ya udereva magari yeyote anaendesha,hvo ukiwa wewe mwenyewe rafiki,ndugu yako au rafiki yako anahitaji dereva tusaidiane kwa hili please ,!yeye anapatikana Dar es salaam. Lakin pia...
  4. S

    Naombeni kuuliza jamani.

    Habarini wadau,ninaomba kupewa uelekeo kwa wenye uzoefu huu,kama ninakwenda mkoani geita kutokea mikoa ya kaskazn hususani Arusha kwa mabasi ni njia gani wanatumia,na naul ni sh.ngapi?Tafadhali
  5. S

    Wadada punguzeni maringo hasa mnapogundua mnapendwa

    Habarini wadau, Mimi ninakerwa sana na hawa wenzetu, kwani yamenitokea una kuta unampenda mtu kwa dhati na una nia nae nzuri tu,lakini akigundua hivo maringo yanazidi hadi kuboa, wakati swala la mapenzi na la wote. Kwanini hivi jamani?Niwape tu mfano kuna dada mmoja amekuwa na hiyo kawaida...
  6. S

    Wadau katika mazingira haya kuna upendo?

    Natumaini wote mupo poa humu ndani,hivi majuzi kuna ndugu yangu mmoja kanitaka ushauri,kuwa ana rafiki yake wa kike ambaye yeye mme anampenda sana ila huyu bibie haeleweki,hasa ktk kuwa wazi kama anampenda kijana. Mara ya mwsho majuzi bibie kamtembelea mkaka nyumbani kwake huyu ndugu yangu...
  7. S

    Wale wa Post ya HR JIA tujuzane hili

    Jamani binafs napata utata ni wapi tunaenda kufanyia usaili ktk hii taasisi?maana tangazo lao sekretariat wamesema ktk ofis zao,so ni huko lushoto au wana ofis Dar? Tujuzane please!
  8. S

    Tujuzane kuhusu wabunge hawa machachari.

    Nimekuwa nikivutiwa sana na mh!Halima mdee na John mnyika,vp wabunge hawa wataendelea kutetea majimbo yao ya awali au wanabadilisha?
  9. S

    Aliniacha bila sababu ya msingi leo anasema alikuwa anataka kujua kama kweli nampenda, Kweli?

    Habari wakuu! Katika pita pita yangu na harakati ya kutafuta mke niliweza kuonana na binti mmoja kweli nilimpenda na tulianza mawasiliano nae baadae alinitembelea ninapoishi. Kitu cha ajabu siku kanitembelea alipoondoka aliniambia nisimtegemee tena na aliacha mawasiliano,na mimi nikasita...
  10. S

    Mungu awatangulie

    Habarini za asubuhi!napenda nitumie nafasi hii kuwatakia kila la heri members wote ktk siku ya leo hasa wale ambao wana ratiba ya kwenda huku na kule kwa maswala ya kufuatilia ajira.mm nipo ingawa kimya kingi sijawasahau tunazd kuombeanaaa!
  11. S

    Hongereni sekretarieti ya ajira

    Hawa jamaa sasa hv wameamua kuwaokoa watanzania mana wengi wananufaija na uwazi wa hz ajira
  12. S

    Tarehe hizi anaweza kupata ujauzito?

    Samahani wataalamu, nina mke wangu ametoka katika siku zake tangu tarehe 12 mwezi huu, sasa tarehe 24 kama nimekutana nae anaweza kupata ujauzito?
  13. S

    Naomba kuuliza kwa wazoefu wa safari ya dodoma to mwanza

    wapendwa nifahamisheni,kwani mimi sijawah kufika huko nipo dom je nikitoka saa 12 asubuh ninaweza kufika mwanza mda gani? na ni basi gani la uhakika?
  14. S

    Kama una ndugu jamaa keshapokea barua toka utumishi

    Wakuu habarini!samahani kama una mtu unamfahamu ambaye kaitwa kazn na hawa jamaa alhamis ilopita na keshapata barua yake tufahamishane
  15. S

    Asantenti wanaJF, asante Mungu hatimaye nimepata kazi Utumishi

    wanajamvi namshukuru Mungu nimepata nafasi kat ya zle hr 101 kifup sikuwa na mtu utumish na niliyemtegemea ni Mungu aliye hai. So tusikate tamaa tuwe na imani ipo cku na wewe utaweka uzi kama huu humu,amin.Nakumbuka nilisoma uzi kama huu humu jf nikawa siamini kama lakini Mungu alinitia moyo...
  16. S

    Wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma?

    Wadau mwenye kuijua ofisi tajwa hapo juu anijuze ili iwe rahisi kufika kwa usaili kama mnavyojua!
  17. S

    Nafasi (101) HRM OFFICE II na zile AUDITOR II (100) za utumishi washaitwa kwenye usaili?

    Jamani mimi nimehs hvyo kutokana na mazingira yalivyo wewe unasemaje!
  18. S

    Mwenye kujua NGO zilizoko Korogwe

    Jamani habarini,naomba mwenye majibu ya hiyo shda yangu please kwani lengo nijaribu kuomba walau internship maana hal ni mbaya jamani,so kama una ndugu,jamaa au rafik ukini link nae itakuwa powa zaidi.naomba uni pm.Kifupi nimemaliza chuo mwaka 2012 shahada ya utawala,so tushkane mkono wandugu.
  19. S

    Nafasi za kazi, Mbeya University of Science and Technology

    Wandugu,Mwananch gazeti la leo hawa jamaa wametoa nafasi ktk category mbali mbal unaweza kucheki ndugu.
  20. S

    Naomba kuuliza kuhusu kuthibitisha vyeti

    Habarini wapendwa! Mimi naomba kuuliza katika mambo ya certify vyeti, ni kwamba unathibitisha zile copy ambazo unatuma ktk application , au inakuwaje?
Back
Top Bottom