Habarini wadau,
Mimi ninakerwa sana na hawa wenzetu, kwani yamenitokea una kuta unampenda mtu kwa dhati na una nia nae nzuri tu,lakini akigundua hivo maringo yanazidi hadi kuboa, wakati swala la mapenzi na la wote.
Kwanini hivi jamani?Niwape tu mfano kuna dada mmoja amekuwa na hiyo kawaida kwani tunakubaliana lakini amekuwa akinizinguka kwa awamu tatu mfululizo na kusema bado tuwe marafiki sasa hapa inakuwaje?